Hahahahaha yaani mafurushi sijui wametia nini, kwa kweli napata mashaka na wakufunzi wa hawa vijana wetu.Mkuu hayo mafurushi mengi ni ya nini wataweza kweli kwenda nayo vitani au ni maalum kuonesha wanaweza kubeba mizigo mizito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha yaani mafurushi sijui wametia nini, kwa kweli napata mashaka na wakufunzi wa hawa vijana wetu.Mkuu hayo mafurushi mengi ni ya nini wataweza kweli kwenda nayo vitani au ni maalum kuonesha wanaweza kubeba mizigo mizito?
Unafahamu kuwa kuna nchi hazina majeshi na zina amani kuliko Tanzania yenye vikosi vingi vya usalama wa nchi?Kuna watu wana dharau mpaka unatamani wasiendelee kuishi.
Mpaka leo ndani ya miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na fujo wala uvunjifu wa amani.
Umeshawahi kujiuliza swali hilo na kujua kwanini?
Nijibu hilo swali huku mimi nikikwambia kwanini.
sababu ya watu na jeshi makini linalokulinda masaa 24 milele.
Unalala unaamka na kushinda na smartphone mchana kutwa sababu yao.
Na wala husikii milio ya milipuko ya mabomu na vishindo vya risasi sababu yao vilevile.
Alafu sharobaro mmoja anayeangalia movie kupitiliza kwenye laptop anakuja kuhoji competence ya jeshi wtf?
Na sio kila wanachofanya watu weupe ni sahihi au cha kuiga.
Hii inathibisha akili finyu na inferiority complex ya mwafrika.
Mimi ningekuwa mwanajeshi ningeacha kazi mara moja sababu siwezi kulinda mbuzi wasio na shukrani.
No offense lakini huo ndio ukweli.
Kuwepo kwa vita kunaashiria kuwa uimara au udhaifu wa jeshi ndani ya Taifa lolote lile?Kwanini ndani ya miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita wala uvunjifu wowote wa amani ulio sababisha maelfu ya vifo vya watanzania?
Nijibu hilo swali mkuu.
Tunatofautiana kiteknolojia ila kawajaribu ndio utajua hujui usimtukane mamba kabla hujavuka ng'amboNilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?
Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field, nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana, kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
HakikaKaulize nchi JWTZ wailkopigana hawajawahi shindwa popote nchi yeyote
Gaidi Kingai anatosha kuwapimaHuyu aliyeleta mada ana tatizo la akili.
Competent ya wanajeshi inapimwa kwa kuwa simple tu?
Halafu unazungumzia eneo la "battle".
Sasa hapo uwanjani kulikuwa na battle?
Anyway...nenda kawajaribu uone umahiri wao!
Umejibu kirahis rahisi sana.Muda mwengine ni akili ya vita. Tungeingia sisi pengine wangeingia kwetu kwa urahisi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kama nchi nyenginezo. Ila Rwanda iko mbali. Mbali na hivyo si lazima kila kitu ujue.
Kwa maelezo haya naona yana akisi kabisa uhalisia.Kwa kuzingatia ukanda tuliopo, utamaduni wetu, elimu zetu, na teknolojia yetu wapo vizuri..lakini tukiwalinganisha na wenzetu tuko nyuma sana..kuna jamaa yangu ni classmate wangu tuliemaliza nae kidato cha nne...ingawa huonekana kuwa ni siri lakini alijitahidi kunipa vielelezo vya kutosha kuwa yeye ni komando..sikumbishia kwakuwa alinionesha na missions ambazo ameshiriki pamona ya units zake...lakini kwa ujumla hawana viwango vya kushangaza.....
Hata hivo sina uhakika kunakipindi wakati dk.rose migilo yupo UN ilivuma kuwa alikuwa akiwapa promo hawa ndugu zetu wa jwtz ili wapelekwe lebanon kwenye mission za UN Kikwetu hayo tunayaita mapande kwani $$$ wanazolipwa si haba..lakini ilivuma kuwa kule lebanon ndugu zetu walikuwa wana pukutika kizembe mzee jk w pili akamkataza yule mama asiwaombee nafasi vijana kupelekwa kule...
Sasa kama ni kweli najiuliza inamaana wale jamaa wa mashariki ya kati wako vizuri sana au vijana wetu wamezoea kombolela ya vichakani na kwa bahati mbaya wakakuta kule ni kujificha nyuma ya ukuta au kwenye mawe ya jangwani...?
Hawalali , wanajitolea kutokulala au wanalipwa ?Kuna watu hawalali ili wewe ulale salama alafu unaleta kejeli, kua na heshima japo kidogo
Na trainer mkuu wa jeshi la China ni nani ??Kwa taarifa yako...kila mwaka kuna joint exercise zinafanywa na makomandoo wa marekani na ulaya, na hawa wa Tanzania( Hata mwaka huu zimefanyika). Hao makomandoo wa nje wakijaga hapa wanakubali mziki. Uliza uambiwe. Lazima ujue hawa makomandoo baada ya a kupata mafunzo ya awali (intake one) ya hapa nyumbani, huwa wengine wanaenda mafunzo huko Israel, Marekani, Cuba na China. Na trainer mkuu wa jeshi letu hapa ni mchina. Usiwachukulie poa
Kati ya Tanzania na Rwanda Nani yupo karibu na Msumbiji ?, na kwa Nini Msumbiji achukue Kesho la Rwanda na kuacha la Tanzania ? Jibu ndugu yangu.JWTZ inapigana vita kubwa. JWTZ ilipigana Msumbiji nchi nzima kumtimua mreno Msumbiji iwe huru
Hivyo vivita vidogo vya kamkoa kamoja au tuwili twa Msumbiji tunaachia akina Kagame wajifunze vita
Shika adabu yakoKweli CDM ni chama cha kigaidi.
Kimeharibu sana vijana
Hata uwezo wa kiakili kuna tofauti kubwa sanaUwez kulingansha Tz na mataifa hayo mkuu
Tunatofautian kiuchumi na kitaaluma.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mbona huko kuna akina dada wengi sana?
Wenzetu washahama kwenye matumizi ya nguvu kubwa.
Dooooh izi rekodi mnatoaga wapi. Unajua ni wanajeshi wangapi wa JW waliuawa Congo ?Kaulize nchi JWTZ wailkopigana hawajawahi shindwa popote nchi yeyote
Kwahyo wakiuawa ndio dhaifu? Vita ni ushindi wa lengo, madhara ya vita yanajulikana kwa pande zote mbili.Dooooh izi rekodi mnatoaga wapi. Unajua ni wanajeshi wangapi wa JW waliuawa Congo ?
So wanajeshi wa JW walishinda vita Congo?Kwahyo wakiuawa ndio dhaifu? Vita ni ushindi wa lengo, madhara ya vita yanajulikana kwa pande zote mbili.
Operesheni gani unayoimaanisha hapa?So wanajeshi wa JW walishinda vita Congo?