Hilo bulldowzer aunaipenda nchi yangu lakini hili kwa kweli ni aibu sana.
kuna mada nilishwahi kueleza kuhusu teknolojia kubwa na sayansi mara nyingi zinaanzia jeshini kisha kuja kwa wananchi baadae kama itakuwa sio ya kivita.
serikali isipokuwa makini kuweka bajeti kubwa ya jeshi katika elimu inayojikita kwenye teknolojia na sayansi.
leo ndio matokeo yake
View attachment 2038921
View attachment 2038922
Kwenye maonyesho unataka uonyeshe kila kitu
Ukisoma habari 14 waliouwawa hakuna mahali wamestate ni makomando. Hawa ni regular infantry unit ya kulinda amani. + ilikuwa ni ambush. So check your facts man2017: 14 waliuawa DRC
2013: 7 waliuawa Sudan Majina saba ya askari walio uwawa Sudan
Anza na hizo hapo...
Alafu inasemwa kwamba JWTZ hawapendi sana kujihusisha na missions za kimataifa...
Juzi hapo tu Cabo Delgado, Mozambique tukashindwa kutimiza majukumu yetu tukamuachia Rwanda.
Kingai na mahita ama na Goodluck yumo?Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.
NakaziaMbona walifanya joint training majuzi na Wamarekani, haya ni maonesho na hayo ndio madoido ya Commandos ukitaka kujua habari zao nenda kwenye jando lao usikie machine guns zinavyopigwa mithili ya ngoma...tuna vijana makini, hodari na shupavu.
Mkuu angalia sana kauli zako,Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
CC Detective JNaipenda nchi yangu lakini hili kwa kweli ni aibu sana.
Kuna mada nilishwahi kueleza kuhusu teknolojia kubwa na sayansi mara nyingi zinaanzia jeshini kisha kuja kwa wananchi baadae kama itakuwa sio ya kivita.
Serikali isipokuwa makini kuweka bajeti kubwa ya jeshi katika elimu inayojikita kwenye teknolojia na sayansi.
leo ndio matokeo yake
View attachment 2038921
View attachment 2038922
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa si walikua wanalia juzi tu wanekamatwa na polisi ?
Vuta picha labda wangekamatwa na wajeda wa russia ingekuaje
Mhhhh!!!!, Point hii Mwanangu.kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.
Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?
Kaangalia movie za kivitaMkuu heshimu proffesion za watu
Unatype kwa uhuru kbsa sababu ya uwepo wa vyombo vya usalama
,Wewe una uzoefu Gani na mambo ya usalama mpaka uwe na uwezo wa kupima competence ya jeshi?