Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Majibu mazuri utayapata ukifika Ngerengere Morogoro kikosi 94 KJ.
 
Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
Unakatwa na majini wewe. Unapaswa kujua kwamba makomando ni watu watiifu sana or else usitamani kujua. Dharau za ovyo kabisa hizi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Waende wakamlize vita Ukanda wa Gaza ama Syria. Kule hata Marekani na Urusi wenye nguvu kubwa za kijeshi wanatapatapa tena kwa wanamgambo tu wa Hizbollah ama Al nusra front *****.
Hatapitapi ni wanufaika wa hyo mugogoro usiwe mvivu kutumia akili
 
Mara walikufa na M23 walimalizwa na UN unaamini lip sasa
Lilikua chini ya majeshi ya UN nchi zikiwa Tanzania,S/Africa(Hawa walikua wanatoa air support) na Malawi.M23 walisepa wakaenda Uganda na wengine Rwanda.Na wiki chache zilizopita hao M23 waliingia Congo wakakinukisha kidogo then wakasepa zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaah
Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
 
Nchi ya 2 kwa ukubwa wa jeshi, technology na vifaa duniani, waasisi wa martial arts, na moja ya nchi kongwe kabisa duniani kwenye Vita vya ardhini unajifananisha nayo? Utakuwa na matatizo
You dont get my point, do you ?
 
Nchi ya 2 kwa ukubwa wa jeshi, technology na vifaa duniani, waasisi wa martial arts, na moja ya nchi kongwe kabisa duniani kwenye Vita vya ardhini unajifananisha nayo? Utakuwa na matatizo
Sio atakuwa na tatizo, atakuwa na uwenda wazimu.
 
Back
Top Bottom