Bad Man Tivu
JF-Expert Member
- Jan 16, 2019
- 388
- 421
Wabongo wanampangia kazi sana Mungu,hawajui Mungu ni wa huruma na anasamehe siku zote halafu by the fucking way wanaomsema Makonda kama ni Muovu wao ni Malaika?MIERDA!Mungu anajua, unaweza kumuhukumu kua mtenda dhambi halafu siku hiyo unaishia motoni mwenzenu anakua mbinguni ndio mtashangaa
Mavi tupu,hata kanisani wala msikitini inaonekana huingii,you better shut your damn mouth!Aaah wapi matendo ya mtu ndio uamua awe upande upi
Lord Rajpar tajiri wa meli alikuwa na meli kibao ( nyie chawa hamkuzaliwa bado hamwezi kumjua) peke yake ndio hata Nyerere alipata kigugumizi kumbana, na alikuwa na elimu ya kutosha sio bashite elimu Fffff zote mara eti ana dry cleaner kali mara Range Rover kali na upuuzi mwingine.Makonda ni panya tu au kicheche fulani,kuwa RC bado ni mdogo tu ila maarufu.
Lupango wameshaingia mawaziri, viongozi wa kitaifa na watu pesa za kufuru.
Lord Rajpar tajiri wa meli alikuwa na meli kibao ( nyie chawa hamkuzaliwa bado hamwezi kumjua) peke yake ndio hata Nyerere alipata kigugumizi kumbana, na alikuwa na elimu ya kutosha sio bashite elimu Fffff zote mara eti ana dry cleaner kali mara Range Rover kali na upuuzi mwingine.
Kuwa na hatia ni swala jingine ila sijui labda yuko juu ya sheria zote duniani inabidi mahakama zote zisubiri amue mwenyewe lini ataenda.
Ujui chochote kuhusu life after death, angesameheka na Mungu mahakama isingemtafutaMavi tupu,hata kanisani wala msikitini inaonekana huingii,you better shut your damn mouth!
Unaleta mambo ya life after death as if kila mtu anaamini hivyo!wewe Mungu kakusamehe ndio maana mahakama haikutafuti!!MIERDAUjui chochote kuhusu life after death, angesameheka na Mungu mahakama isingemtafuta
Mahakama imetoa tangazo la kumtafuta, amejificha na haonekani POPOTE! Vipi unaye hapo chumbani?Na wewe leta ushahidi kama kweli yupo mafichoni!trash yaani takataka!
Huyu ndugu yako kwanza lazima alambe ndani miezi adhabu ya kuidharau mahakamaUnaleta mambo ya life after death as if kila mtu anaamini hivyo!wewe Mungu kakusamehe ndio maana mahakama haikutafuti!!MIERDA
TISS ya ukweri hainaga watu wenye ubongo mdogo kama hao aisee, kwasababu wanajua ukiwa tiss ukawa mjingamjinga utachinjwa mtaani au kutoa siri anytime. hao wengi wanajifanya tiss utakuta ni nyoka tu wa kafara hata wakidhuriwa hawana madhara kwa tiss na tiss wanawaruka hatua mianane.Mtu ambaye ni Tiss anaishi vipi kama Digi digi?
na wewe ni sapota wake? ndo maana huelewi kitu.Trash yaani taka taka.
Mwenzio kadondoka kabisa! Piuuuuu.....Ukipanda juu kifuatacho ni kushuka chini
Athari za kutumia kichwa kufugia makamasi ndio hizi...Watu wapumbavu sana jamani!
Wanataka makonda aishi kama zamani wakati hana cheo chochote cha kumfanya avume!
.
Wakiona yuko kimya hivi wanasema anaishi kama digidigi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana Lisu kaamua kukimbilia kwa amsterdma maana kwa akili hizi za machadema hawezi kuishi nao kwa aman
Katika nyanja za kiujasusi Hilo Lina wezekana SanaMambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!
Ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Ha ha ha!!!!Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema
Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha
Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.
Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.
Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Ha ha ha!!! Usitukane mkunga uzazi ungalipo!!!! Nyerere alishasema kuwa "cheo ni dhamana sitatumia cheo changu kwa manufaa yangu mwenyewe!!" Hii vijana wa zamani tulikaririshwa maana ilikuwa lazima uwe mwanachama wa TANU na huendi chuo chochote na hupati kazi kama siyo mwanachama wa TANU. Chama kilishika hatamu kweli kweli enzi hizo. Sasa hizi ndiyo anaelewa kuwa cheo ni dhamana apewayo mtu kwa kipindi fulani tu!!!!