Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Mungu anajua, unaweza kumuhukumu kua mtenda dhambi halafu siku hiyo unaishia motoni mwenzenu anakua mbinguni ndio mtashangaa
Wabongo wanampangia kazi sana Mungu,hawajui Mungu ni wa huruma na anasamehe siku zote halafu by the fucking way wanaomsema Makonda kama ni Muovu wao ni Malaika?MIERDA!
 
Makonda ni panya tu au kicheche fulani,kuwa RC bado ni mdogo tu ila maarufu.
Lupango wameshaingia mawaziri, viongozi wa kitaifa na watu pesa za kufuru.

Lord Rajpar tajiri wa meli alikuwa na meli kibao ( nyie chawa hamkuzaliwa bado hamwezi kumjua) peke yake ndio hata Nyerere alipata kigugumizi kumbana, na alikuwa na elimu ya kutosha sio bashite elimu Fffff zote mara eti ana dry cleaner kali mara Range Rover kali na upuuzi mwingine.

Kuwa na hatia ni swala jingine ila sijui labda yuko juu ya sheria zote duniani inabidi mahakama zote zisubiri amue mwenyewe lini ataenda.
Lord Rajpar tajiri wa meli alikuwa na meli kibao ( nyie chawa hamkuzaliwa bado hamwezi kumjua) peke yake ndio hata Nyerere alipata kigugumizi kumbana, na alikuwa na elimu ya kutosha sio bashite elimu Fffff zote mara eti ana dry cleaner kali mara Range Rover kali na upuuzi mwingine.
 
Ujui chochote kuhusu life after death, angesameheka na Mungu mahakama isingemtafuta
Unaleta mambo ya life after death as if kila mtu anaamini hivyo!wewe Mungu kakusamehe ndio maana mahakama haikutafuti!!MIERDA
 
Mtu ambaye ni Tiss anaishi vipi kama Digi digi?
TISS ya ukweri hainaga watu wenye ubongo mdogo kama hao aisee, kwasababu wanajua ukiwa tiss ukawa mjingamjinga utachinjwa mtaani au kutoa siri anytime. hao wengi wanajifanya tiss utakuta ni nyoka tu wa kafara hata wakidhuriwa hawana madhara kwa tiss na tiss wanawaruka hatua mianane.
 
FB_IMG_1644479786302.jpg
 
Watu wapumbavu sana jamani!

Wanataka makonda aishi kama zamani wakati hana cheo chochote cha kumfanya avume!
.
Wakiona yuko kimya hivi wanasema anaishi kama digidigi[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana Lisu kaamua kukimbilia kwa amsterdma maana kwa akili hizi za machadema hawezi kuishi nao kwa aman
 
Halafu Sisi Keyboard warriors Soldiers bado tunadunda na kutanua mbavu mjini haha ...life is changeeee!!!!
 
Watu wapumbavu sana jamani!

Wanataka makonda aishi kama zamani wakati hana cheo chochote cha kumfanya avume!
.
Wakiona yuko kimya hivi wanasema anaishi kama digidigi[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana Lisu kaamua kukimbilia kwa amsterdma maana kwa akili hizi za machadema hawezi kuishi nao kwa aman
Athari za kutumia kichwa kufugia makamasi ndio hizi...

Wewe kwa uwezo wako ulionao hupaswi kukatisha barabara ukiwa pekeyako lazma upate usaidizi tu.....
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!

Ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Katika nyanja za kiujasusi Hilo Lina wezekana Sana
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili

Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.

Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Ha ha ha!!!!
 
Ha ha ha!!! Usitukane mkunga uzazi ungalipo!!!! Nyerere alishasema kuwa "cheo ni dhamana sitatumia cheo changu kwa manufaa yangu mwenyewe!!" Hii vijana wa zamani tulikaririshwa maana ilikuwa lazima uwe mwanachama wa TANU na huendi chuo chochote na hupati kazi kama siyo mwanachama wa TANU. Chama kilishika hatamu kweli kweli enzi hizo. Sasa hizi ndiyo anaelewa kuwa cheo ni dhamana apewayo mtu kwa kipindi fulani tu!!!!
 
Back
Top Bottom