Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Kesi aliyofungua Kubenea ni kesi ambayo ina dhamana.

Kesi aliyoifungua Kubenea ni kesi iliyokaa kiulipizaji visasi na ndio maana wahusika wakuu,yaani Clouds [emoji342] 360.
Walikwisha toa tamko la kujitoa wala kutohusika na kesi hiyo ya kubenea.

Makonda hawezi kimbia kesi kama hii ambayo anafika kusikilizwa na kurudi nyumbani.

Wachangiaji wengi humu ni wale wale team roho mbaya,ambao walikodisha magari na kupakia watu wao kwenda kumzomea Sabaya mahakamani.

Lakini yalipowarudi wao wenyewe,tunawaona humu mchana kutwa na usiku kucha.
Wakilalamika.

Ooh mwamba anaonewa......

Kubenea anatafuta kick ya kutafutia umaarufu baada ya kuporomoka kutoka Uheshimiwa hadi mtuhumiwa wa Pesa haramu Namanga.
 
Yawezekana. Hii nchi hakuna linaloshindikana.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Changa la macho hilo.... Mshikaji Instagram anapost mavituzi..... Yupo mahala salama kabisa
 
Inavyosomeka huku kitaa, jamaa analindwa na ruling regime. Mtu ambaye makosa yake yalithibitila hata kwa 'external observers' asingepaswa kuishi uraiani hata masaa kadhaa.
Hehe hili ni shauri la kiraia na sio la serikali. Halina mashiko yoyote aliepeleka amefanya kwa nia za kisiasa ila kila siku asikike katika habari anamuomba Makonda aende mahakamani.

Makonda anapiga mazoezi kila siku uwanja wa Oysterbn
 
Ni inatosha kusema kila Dhama na Dhama Zake
 
Amelaaniwa mtu Yule amtegemeae mwanadamu. Makonda alifanya yote hayo Kwa Sababu alimtegemea mwendazake. . Neno la Mungu aliongopi. Ni upanga ulao kuwili. Maisha ya Sasa ya Makonda ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…