Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
USA ni mbinguni?Haruhusiwi kuingia USA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA ni mbinguni?Haruhusiwi kuingia USA.
Juha hilo, hakuna anachojua zaidi ya kuzungusha mikono"Mahakama kuu" hahahaha watu mnahangaika sana
Si aende mahakamani? Kwani wito ni wa Kubenea au wa mahakama?Hehe hili ni shauri la kiraia na sio la serikali. Halina mashiko yoyote aliepeleka amefanya kwa nia za kisiasa ila kila siku asikike katika habari anamuomba Makonda aende mahakamani.
Makonda anapiga mazoezi kila siku uwanja wa Oysterbay.
Si aende mahakamani? Kwani wito ni wa Kubenea au wa mahakama?
Hahaha aiseeMambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Watu wa humu duuhUkute huo uhuru mwenzetu ndo anazidi kudidimiza umaskini kwa miburungutu myekundu!.
Me siyajui sana haya Mambo!
Yawezekana. Hii nchi hakuna linaloshindikana.Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Ha ha haa,anavyokimbia kama digidigiKumbe nawewe mshana tahira tu, unaweka uzi bila picha
Changa la macho hilo.... Mshikaji Instagram anapost mavituzi..... Yupo mahala salama kabisaMambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Hehe hili ni shauri la kiraia na sio la serikali. Halina mashiko yoyote aliepeleka amefanya kwa nia za kisiasa ila kila siku asikike katika habari anamuomba Makonda aende mahakamani.
Makonda anapiga mazoezi kila siku uwanja wa Oysterbn
Ni inatosha kusema kila Dhama na Dhama ZakeWaliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema
Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha
Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!
Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga