Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Kesi aliyofungua Kubenea ni kesi ambayo ina dhamana.

Kesi aliyoifungua Kubenea ni kesi iliyokaa kiulipizaji visasi na ndio maana wahusika wakuu,yaani Clouds [emoji342] 360.
Walikwisha toa tamko la kujitoa wala kutohusika na kesi hiyo ya kubenea.

Makonda hawezi kimbia kesi kama hii ambayo anafika kusikilizwa na kurudi nyumbani.

Wachangiaji wengi humu ni wale wale team roho mbaya,ambao walikodisha magari na kupakia watu wao kwenda kumzomea Sabaya mahakamani.

Lakini yalipowarudi wao wenyewe,tunawaona humu mchana kutwa na usiku kucha.
Wakilalamika.

Ooh mwamba anaonewa......

Kubenea anatafuta kick ya kutafutia umaarufu baada ya kuporomoka kutoka Uheshimiwa hadi mtuhumiwa wa Pesa haramu Namanga.
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Yawezekana. Hii nchi hakuna linaloshindikana.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Changa la macho hilo.... Mshikaji Instagram anapost mavituzi..... Yupo mahala salama kabisa
 
Inavyosomeka huku kitaa, jamaa analindwa na ruling regime. Mtu ambaye makosa yake yalithibitila hata kwa 'external observers' asingepaswa kuishi uraiani hata masaa kadhaa.
Hehe hili ni shauri la kiraia na sio la serikali. Halina mashiko yoyote aliepeleka amefanya kwa nia za kisiasa ila kila siku asikike katika habari anamuomba Makonda aende mahakamani.

Makonda anapiga mazoezi kila siku uwanja wa Oysterbn
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
Ni inatosha kusema kila Dhama na Dhama Zake
 
Back
Top Bottom