Hii kisaikolojia ni namna tu ya kutafuta faraja na kujipa matumaini hewa...Amejitokeza insta kwa kiburi na dharau, ngoja wakalipunguze hilo wowowo jela ndo atajua ndumba sio KILA kitu
View attachment 2113643
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema
Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha
Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.
Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.
Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Anapostia akiwa wapi?
Aitishe PC kushughulikia na nyie wapumbavu?[emoji2][emoji2][emoji2] RRONDO so what are trying to prove here? [emoji23] imebidi nicheke sana! Kwamba he is at large! Na hatafutwii.. Si angeitisha PC!?
Hii post ndio utajua Kuna watu wapumbavu. Makonda yupo kila siku, na juzi hapa katoka kufungua dry cleaner na wateja anao wengi tu.Akiwa kwakwe mshana jr kwamba hawajui anakopatikana hao wanao mtafuta?
Aah kumbe hapo ni kwake basi sawa.. Sitaki kuuliza kama umejuaje kwamba hapo ni kwake.. Ni vema tukaupa muda wakati... Post hii ipo tutarudi hapa hapa kukumbushana...!Akiwa kwakwe mshana jr kwamba hawajui anakopatikana hao wanao mtafuta?
Usitegemee aliokula nao wakawa msaada hata kidogo maana wakati wanakula naye walitanguliza zaidi matumbo yaoWaliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema
Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha
Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.
Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.
Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Haha ukiulizwa hivi unajibu vile!ASSHOLEAnza kutafuta Kazi nyingine boss wako makonda mwaka haushi atakuwa jela.Kama unamdai kama Shamba boy wake wahi mapema akulipe.
Sio yeye bhana hawafanani.Naona ndio huyo huyo
Wewe ni MKEWE AU HAWARA WAKE? Mbona unalazimisha kuleta taarifa zisizo na uthibitisho wowote ule? Leta uthibitisho mkiwa naye hapo chumbani tuone.Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Una maanisha hawa hooligans ambao wanatuhuma za kufanya hujuma kila kukicha?Nape,Makamba, Ridhiwani wapo vizuri
Zimemfika boss wako alidhani angeweza shindana na natureHaha ukiulizwa hivi unajibu vile!ASSHOLE
Soma ueleweke,hawa walipewa nafasi kwa brain zao na sio wale hopeless baada ya kuwatisha watuUna maanisha hawa hooligans ambao wanatuhuma za kufanya hujuma kila kukicha?
Naamini you're just making a joke kuhusu these guys....
Ukikua utaelewa.Unajuaje kama hajatubu? una uhakika gani amesababisha yatima? kama una ushahidi unaonane ukiupeleka mahakamani