Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili

Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.

Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.

[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu mbona anapost clip za nyimbo huko insta?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] RRONDO so what are trying to prove here? [emoji23] imebidi nicheke sana! Kwamba he is at large! Na hatafutwii.. Si angeitisha PC!?
giphy.gif
 
Akiwa kwakwe mshana jr kwamba hawajui anakopatikana hao wanao mtafuta?
Hii post ndio utajua Kuna watu wapumbavu. Makonda yupo kila siku, na juzi hapa katoka kufungua dry cleaner na wateja anao wengi tu.
Yupo dar, yupo moro, yupo Arusha, yupo mwanza. Kote huko ana biashara na shughuli zake zinaendelea.
 
Akiwa kwakwe mshana jr kwamba hawajui anakopatikana hao wanao mtafuta?
Aah kumbe hapo ni kwake basi sawa.. Sitaki kuuliza kama umejuaje kwamba hapo ni kwake.. Ni vema tukaupa muda wakati... Post hii ipo tutarudi hapa hapa kukumbushana...!
Remember what happened to Charles Taylor Obasanjo alipochoka kumlinda! Tafuta hiyo habari.. Ama Kasusura pesa zilipoisha..! Tuwe na tafakuri kwenye kila jambo
 
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili

Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.

Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Usitegemee aliokula nao wakawa msaada hata kidogo maana wakati wanakula naye walitanguliza zaidi matumbo yao
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi

Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Wewe ni MKEWE AU HAWARA WAKE? Mbona unalazimisha kuleta taarifa zisizo na uthibitisho wowote ule? Leta uthibitisho mkiwa naye hapo chumbani tuone.
 
Unajuaje kama hajatubu? una uhakika gani amesababisha yatima? kama una ushahidi unaonane ukiupeleka mahakamani
Ukikua utaelewa.
Huwezi ukatenda dhambi kimakusudi Ili uje utubu
 
Back
Top Bottom