Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

TANZANIA nji nzuri sana.......TUPENDANE tuwe wamoja....
 
TANZANIA nji nzuri sana.......TUPENDANE tuwe wamoja....
Screenshot_20220222-083410.jpg
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi

Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Yaleyale ya yuko ikulu anachapa kazi unataka atoke aende wapi
 
Vijana wa makengeza Mbowe punguzeni bange na mihemko uchwara
 
Hii post ndio utajua Kuna watu wapumbavu. Makonda yupo kila siku, na juzi hapa katoka kufungua dry cleaner na wateja anao wengi tu.
Yupo dar, yupo moro, yupo Arusha, yupo mwanza. Kote huko ana biashara na shughuli zake zinaendelea.
Anasali kanisa gani kwa Dar ? wiki iliyopita alisali?
 
Back
Top Bottom