Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Hayo yote uliyotaja yana halalisha mauaji ya raia aliyofanya Magufuli? Yanahalalisha kuteka na kuua watu? Je, yanahalalisha kuuliwa kwa memba mwenzetu wa JF, Ben Saanane? Tafakari kabla ya kushabikia mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mkuu.
 
Hayo yote uliyotaja yana halalisha mauaji ya raia aliyofanya Magufuli? Yanahalalisha kuteka na kuua watu? Je, yanahalalisha kuuliwa kwa memba mwenzetu wa JF, Ben Saanane? Tafakari kabla ya kushabikia mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mkuu.
Hakuna anayeshabikia mauaji, kumbuka kuwa roho ya ukatili ipo dunia nzima. Sio kila mauaji unaweza kuyahusisha na mifumo ya kiuongozi kuna mengine ni dhuluma, wizi, dharau, mapenzi na masuala ya aina hiyo.
 

Jamaa alikuwa ana mahaba na Wanawake WEUPE .....!!!
 
Kukisoma hicho kitabu ni sawa na kuangalia sinema aliyobuni mtayarishaji mmoja. Ukiwa huna ushahidi unaojitosheleza inakuwa ni fantasy fulani.
Wewe unaona fantasy kwa kuwa umelishwa uchawa kichwani mwako kumeondolewa ubongo zimejazwa chawa tupu!
 
Sio rahisi kwa mwanaume wa miaka zaidi ya 60, kumridhisha mwanamke ambaye anasagwa
 
SWALI LAKO:

Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "ubakaji" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?​


JIBU: ... MAMLAKA GANI HUSIKA ILISIMAMIA UCHAPISHAJI WA KITABU CHA KABENDERA?
😅
 
Typically African mindset kumshughulikia aliyesema badala ya aliyetenda!
 
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa akitaka kumbaka? Naona imeandikwa 'inadaiwa alienda chumbani kwa Samia akiwa kavaa pyjamas nyakati za usiku mnene.'

Malizia, baada ya tukio hilo mama akataka kujiuzulu. Wrwe unadhani alitaka kukiuzulu kwa sababu Jiwe alivaa pajama tu?
 
Kuna watu wapo kazini kwa ajili ya kumtoa Rais Samia kwenye reli.Kwenye kitabu hiki cha kishamba wanajaribu kumuingiza Samia alivyokuwa Makamu.Hii si bahati mbaya.'It is a calculated move'.Sitashangaa wale vijana wenye uroho wa madaraka wakishirikiana na baadhi ya wazee wachache wasioridhika na walichokwisha kipata wapo nyuma ya Kabendera.Wanajitahidi kubuni kila aina ya uwongo ambao hata mtoto mdogo anaona huu ni ujinga wa kupikwa.
Kwa taarifa yenu Samia hakamatiki 2025,hata mkishirikiana mkitunga vitabu kumi.
 
Kwa matendo tu ya yule bwana uwezekano wa kufanya kituko kama hicho hupo we rejea tu maneno yake "baki na mavi yako nyumbani","unataka kupanuliwa wapi","miguu haifanyi kazi ila mguu wa tatu unafanya kazi?!",yule mtu alikuwa madman
 
In the name of president , nimesoma hiki kitabu kuna mambo mengi ni ya uongo kwa ukweli nilionao mimi , na katika yaliyoandikwa ambalo sina uhakika nalo ni hili la kwenda kwa vice na pajama .

1.Magufuli alikuwa muda mwingi sana usiku yuko macho na ndio alikuwa anafanya shughuli zake ,sioni ajabu yeye muda huo kuwa na pajama.

2.Magufuli alikuwa Rais muda wote ana ulinzi ni ngumu sana kufanya hilo tukio tena kwa kiongozi mwenzake .

3.Hatujui ukaribu wao ulikuwaje kabla , na Magufuli he was a man like other men na inawezekana kweli alikuwa na issue ya kudiscuss muda ila akachukulia poa code ya mavazi .

Je huwezi fanya kikao na pajama ? Nadhani tunajaribu kuoneshwa kuwa yule jamaa alikuwa katili sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…