Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hata video tuwekeeni, habari isiyo na ushahidi ni rahisi kumfunga mtu mahakamani kuliko ile yenye msingi wa uhalisia.Ni nani aliyekuambia kila ushahidi lazima uwe wa picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata video tuwekeeni, habari isiyo na ushahidi ni rahisi kumfunga mtu mahakamani kuliko ile yenye msingi wa uhalisia.Ni nani aliyekuambia kila ushahidi lazima uwe wa picha?
Hayo yote uliyotaja yana halalisha mauaji ya raia aliyofanya Magufuli? Yanahalalisha kuteka na kuua watu? Je, yanahalalisha kuuliwa kwa memba mwenzetu wa JF, Ben Saanane? Tafakari kabla ya kushabikia mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mkuu.Nyinyi wanaharakati wa humu jamvini akili zenu zinaeleweka, mwananchi wa kawaida anayefaidika na zahanati huko mikoani hana kabisa fikra hizi za kwenu.
Mfanyabiashara wa kule Njombe anayeuza matikiti nje ya nchi kwa kuyabeba kwenye ndege za ATC zilizonunuliwa na hayati JPM hana muda wa kuziamini hizi hekaya zenu wasomi wa X.
Anayetumia treni ya SGR kila wiki kwenda Dodoma na kurudi hana muda wa kuziamini hizi habari za kipuuzi mnazozisambaza.
Hakuna anayeshabikia mauaji, kumbuka kuwa roho ya ukatili ipo dunia nzima. Sio kila mauaji unaweza kuyahusisha na mifumo ya kiuongozi kuna mengine ni dhuluma, wizi, dharau, mapenzi na masuala ya aina hiyo.Hayo yote uliyotaja yana halalisha mauaji ya raia aliyofanya Magufuli? Yanahalalisha kuteka na kuua watu? Je, yanahalalisha kuuliwa kwa memba mwenzetu wa JF, Ben Saanane? Tafakari kabla ya kushabikia mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mkuu.
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Basi kama ndivyo, kaa kwa kutulia usome kitabu cha Joel Kabendera ufunguke macho.Hakuna anayeshabikia mauaji, kumbuka kuwa roho ya ukatili ipo dunia nzima. Sio kila mauaji unaweza kuyahusisha na mifumo ya kiuongozi kuna mengine ni dhuluma, wizi, dharau, mapenzi na masuala ya aina hiyo.
Kukisoma hicho kitabu ni sawa na kuangalia sinema aliyobuni mtayarishaji mmoja. Ukiwa huna ushahidi unaojitosheleza inakuwa ni fantasy fulani.Basi kama ndivyo, kaa kwa kutulia usome kitabu cha Joel Kabendera ufunguke macho.
Wewe unaona fantasy kwa kuwa umelishwa uchawa kichwani mwako kumeondolewa ubongo zimejazwa chawa tupu!Kukisoma hicho kitabu ni sawa na kuangalia sinema aliyobuni mtayarishaji mmoja. Ukiwa huna ushahidi unaojitosheleza inakuwa ni fantasy fulani.
Typically African mindset kumshughulikia aliyesema badala ya aliyetenda!Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Acha uchoyo kiongozi inaonekana unacho Ila unatufanyia ngumu Tu!!Sina na sijui kama ni kweli.
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa akitaka kumbaka? Naona imeandikwa 'inadaiwa alienda chumbani kwa Samia akiwa kavaa pyjamas nyakati za usiku mnene.'
And this was the day mama janeth was assaulted...akalazwa muhimbili Nov 2016
Wengi walihoji ana Nini wakaambulia malaria but ni alipigizwa kichwa kwenye sakafu huko ikulu akazima.
Na media zikadanganywa...
Mke wa rais mna daktari wenu malaria tu anakutibu huko ikulu. Why Muhimbili?
You are Stupid and Pathetic.