Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Hivi Saa100 ana uzuri gani hadi watu wamtamani kumbaka?

Jikedume la miaka 60 lina mvuto gani, ada ya mwezi kakoma kupata, hamna joto ila baridi limetarandadi,

Yaani mtu amwache mwenye kidoti halafu aende kwa kizee, hata 💄 💄 nyekundu inadunda kupendezesha mdomo?

Saa💯 na wenzake walio nyuma ya mwandishi wa kitabu ni wasafi kiasi gani, wana uhalali kiasi gani mbele ya dhamiri zao na uweponi pa Mungu kuzua ya kuzua na kutumia watu kuwasilisha agenda zao?

Hakimu Kristo Yesu aliwaambia wale waliomfumania mwanamke kwenye uzinzi wakitaka wampe adhabu ya kumuua kwa kumrushia mawe hadi afe kuwa "ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe"

Saa 💯 mara gapi katuhumiwa kwa kuwa Blender kwa wenzake, full kusanga juice?

KJ alikuwa akituhumiwa kwa maswala ya liwati, hadi akapata madhara ya kufanyiwa operesheni Marekana kipindi kile,
Hawa wawili uko wapi usafi wao na uhalali wa kunyosha vidole kwa wenzao???
 
Hujamalizia.

Kama kuvaa pajama na kumfuata bi mkubwa usiku mkali lilikuwa ni jambo la kawaida kwa nini Bi Mkubwa alitaka kujiuzulu?.
 
Unaonyeshwa na nani sasa wakati mzee alikuwa naishi ukweli
 
Hahaa umeandika nini ErOo!
Hujui mwampamba (das) alitemwa sababu ya jokate?
Kwa utamu wa Sa100 muulize DAUDI ALBAT BASHITE (Mwenye Ile picha aitete tafadhali)
 
Maswali yako mengi ni ya kipuuzi mno.
Ni taarifa ngapi za matukio ya namna hiyo huchapishwa kwenye magazeti na kutangazwa kupitia vyombo vingine mpaka useme kuwa hiyo taarifa ni mbaya isitangazwe?
 
hivi huyu kabendera ni kabila gani? nikiwa rais nitamsweka ndani siku yangu ya kwanza ya urais.unazalilisha taifa aisee.huo siyo uzalendo kwa taifa lako.
 
kwa hiyo makamu wa rais kipindi hicho alikuwa nakaa ikulu mpaka mzee akaamka amevaa pajama?
kwamba mfalme alikosa wa kumletea tusichana tuzuri twakumtia joto mpaka amwendee bibi yetu?

ni vyema kabendera akakamatwa kwa kumzalilisha mama yetu
 
sijajua lakini.mtanzani mjinga pekee ndiye anaweza kusoma takataka hili na kuliamini.kwanza ukilisoma linakutea tonge la ugali mdomoni?

kwanza nikuwazalilisha wa toto wa Hayati,mke wa hayati,wajukuu wa hayati. he is traumatizing the familiy and the country .ningekuwa mimi ndiye mwanafamilia namfungulia kesi na kudai fidia ya billioni 100.
 
Mbona kama unaonekana ni mwanamke? Tuyaache hayo. Inafikirisha sana kama ni kweli! Ndio tunajiuliza walinzi walikuwa wapi? Au mule ndani ikulu compounds ulinzi ni sifuri kwa viongozi wakuu wanaishi kama raia wa kawaida?
 
Nadhani iliachwa ili kuonyesha uhalisia wa mtengaji hayo..!!
 
sijajua lakini.mtanzani mjinga pekee ndiye anaweza kusoma takataka hili na kuliamini.kwanza ukilisoma linakutea tonge la ugali mdomoni?

kwanza nikuwazalilisha wa toto wa Hayati,mke wa hayati,wajukuu wa hayati. he is traumatizing the familiy and the country .ningekuwa mimi ndiye mwanafamilia namfungulia kesi na kudai fidia ya billioni 100.
Mbona kama unaonekana ni mwanamke? Tuyaache hayo. Inafikirisha sana kama ni kweli! Ndio tunajiuliza walinzi walikuwa wapi? Au mule ndani ikulu compounds ulinzi ni sifuri kwa viongozi wakuu wanaishi kama raia wa kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…