Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Good analysis..

Kwa nyongeza tu ni kuwa, Erick Kabendera yeye mwenyewe direct ni victim wa matendo haya..

He was physically, mentally and psychologically tortured...

So, he is himself the evidence...!
Did JPM personally torture Eric Kabendera or the security instruments?

If JPM was personally involved in torturing Eric Kabendera, where did this malpractice take place?

When this was happening was the security instrument present witnessing the animosity act?

Was the presidential security unit involved in incarcerating Eric Kabendera and what was the root cause?
Kura zilipigwa wengi ya wanasheria walikataa, je kwanini aliendelea na hao wachache kuendeleza chuki zake binafsi akishabikiwa na wadau wake wenye mlengo kama wa kwake?
Kama hivyo ndivyo ujuajwa mwambie aanike kinachotokea sasa kwenye kiti cha SSH na kilichotokea enzi ya AHM, BWM na JMK to prove his fairness and unbiased, motivated by personal hatred.
Mimi hata sishangai wala kuona ajabu kabisa...
 
Mimi sijakulewa shida yako iko wapi exactly...

Kwamba hukubaliani na kilichoandikwa na Erick Kabendera kuwa ni story tu au..?
Kwani udhalilishaji, utesaji, utekaji, kuuwawa, kubambikiwa kesi umeisha au kupungua? Je anuwezo wa kumwandika huyu aliyepo madarakani kwa sasa kwa maovu yayotendeka kwenye utawala wake?
Upo, yote haya yanaendelea hata sasa...

Kwa hiyo, kama yapo Erick Kabendera unataka afanye nini labda? Maana kazi yake ya kuijulisha jamii kupitia andiko (kitabu chake) aliyoyaona na kufanyiwa yeye mwenyewe binafsi pamoja na watu wengine keshaifanya..

Kafanya kosa hapo? Kama sio, what's your point then...?
Kabendera kauziwa mbuzi kwenye gunia na washeria uchwara
Unaweza vipi kuthibitisha hili? Mwenzio kafanya research yake, kaimaliza na kaandika kitabu. Wewe je..?
Labda asirudi TZ alichokiandika ni sharti aje akithibitishe
Ooh, now I get it...

Mmechukia kwa sababu your evils have been exposed...

Roho ileile ya uovu ya kutaka kufumba midomo watu mnaendelea nayo na ndiyo inakuchachafya wewe na wenzako...

Kama mmezushiwa uongo, upo utaratibu wa kisheria kumshitaki raia mnsyedhani anayehujumu nchi hata kama yuko nje ya nchI uhamishoni kama mkimbizi. Ufuateni huo. Acheni kuwaza kuua tu...
View attachment 3194063
Kama SSH alitishia kujiuzulu kwanini aling'ang'ania? Huoni kwamba kitendo chake cha kung'ang'ania kwenye nafasi ndio alikula njama na maadui wa JPM kum nani liu?
May be...

Si yupo. Muulizeni yeye...

By the way, hizi rumours zilisambaa mno hata Magufuli alipokuwa hai by then. Hii kumbe ilikuwa kweli...
Kifupi, hakuna watu sahihi kwenye taasisi ya TISS wasioweza kuishi na viapo vyao pamoja na kwamba masharti yako bayana kwamba endapo atashiriki kutoa siri za nchi au kiongozi wa nchi adhabu yake ni 'hang to death'.
If you know this, then what makes you think that inside infos can't go out and land in hands of people like Erick Kabendera...?
Sasa kosa la Erick Kabendera liko wapi kama unajua kuwa hii possibility ipo?

Huoni kuwa kwa Erick Kabendera kuandika haya kwa uwazi ni kuisaidia nchi na kuwa - alert viongozi waliopo kwamba, unaweza kufanya kitu kibaya gizani lakini mwisho wa siku kitakuwa nuruni..?
Kumpiga mkewe hadi akapoteza fahamu, je, ni TISS, mke wa JPM au hospitali ndio walimpa taarifa Kabendera..................................
Wewe unafikirije kwani....?

Inawezekana wewe ndiye uliyempa hizi infos...😁😁😁
kuchimba hakutaisha mpaka atamke bayana ushahidi wake usio na shaka.
Haitawezekana kwa kupiga kelele barabarani unless umefuata utaratibu wa kisheria..
Hili halitapita
Na ni kweli halitapita bure...

Ni lazima liwe na negative outcomes/impacts kwenu...

Mojawapo, wenzenu wengi akiwemo main character mwenyewe John P. Magufuli alishalipia uovu wake, amekufa kimwili..

Nyie je...??
 
Wewe ndio Kabendera au agent njaa wake?

"...Those who wage war must have wise guidance and many good advisors to win..."
Proverb 24:6
 
Mbona unakuwa kama unataka kutetea mtu fulani. Kama ni uongo utakanushwa so mkuu tutulie tuwaachie wao mambo yao. Ukweli uanikwe kama jamaa anaandika ya uongo akashitakiwe kwa kumchafua mtu
 
Kifupi kitabu ni kopo la kombolela lililobutuliwa ili siasa za kuchafuana nyeti zianze rasmi!!

Kuna video,Makala,picha,audio za wakubwa zitawekwa wazi ili kujibu mapigo kama hatua zozote hazitochukuliwa dhidi ya haya!!

Nadhani team jon kitengo watakuja na yao!

Nawaza Kwa uvumilivu Huku nikiimba "Mama Hadi 2035"
 
Who he/she wages war must have wise guidance and many good advisors to win:
 
Wasukuma washamba sana; kwa pc zilizopo mjini na mamlaka aliyokuwa nayo hakuwa na sababu ya kuzunguka na pajama usiku wa manane😁😁😁😁
Hamjamuelewa jiwe, alitaka naye avunje rekodi ya kuwa amewahi kunyandua VP!
Hamjui kuwa ni wachache hapa duniani wamewahi fanikiwa kufanya hivyo akiwa madarakani VP?
 
It seems that you have very little knowledge/understanding of how things go especially our Tanzania government administrative structure runs its businesses..

Kumbuka jina la kitabu ni "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambayo tafsiri yake ya kiswahili isiyo rasmi ni "MAAGIZO TOKA JUU". Unaelewa muktadha wa maana yake..?

It's not necessarily kuwa, kama aliteswa basi it was in the physical presence the President Magufuli...

The president gives orders and instructions...

Hata kama aliteswa chini ya usimamizi wa ofisa wa magereza au TISS au DC fulani, literally ni Magufuli (Rais) ndiye alifanya hivyo under his orders & instructions...

Au hujui kuwa watumishi wote wa umma Tanzania ni waajiriwa wa "RAIS" and they excute their responsibilities on behalf of the president??

I expected to have known these things better...
Kura zilipigwa wengi ya wanasheria walikataa, je kwanini aliendelea na hao wachache kuendeleza chuki zake binafsi akishabikiwa na wadau wake wenye mlengo kama wa kwake?
So what?

Waliokubaliana naye nao si ni wanasheria?

Iko kama ktk mfano huu:

Kuwa, haina maana wewe hufai au huna sifa kama ukienda kutafuta kazi kampuni A ikakukataa lakini kampuni B ikaku - hire...

So it was just like that...
Kama hivyo ndivyo ujuajwa mwambie aanike kinachotokea sasa kwenye kiti cha SSH na kilichotokea enzi ya AHM, BWM na JMK to prove his fairness and unbiased, motivated by personal hatred.
Tunza hii HEKIMA itakusaidia Mr Intelligence Justice: KILA JAMBO NA WAKATI WAKE...!

What's going on now, it will be decided by the time and seasons. Everything happening in darkness today, shall be put in the light in due time...

Do you undestand now..?

Good day...

Na sio lazima kazi hiyo aifanye Erick Kabendera.
 
Wewe jamaa wewe umeandika hii threads kwa ndimi mbili aise. Nimeishia kucheka tu. Kwa hiyo msukuma alitaka kulazimisha apewe mzigo. AkyaMungu JPM angekuwa hai angekutafuta kama Ben Saa nane.
 
Mnafikiri yaliyokuwa yakifanyika watu wote walikuwa hawaoni?

Au yaliyofanyika hata waliokuwa karibu na Magufuli mnadhani walikuwa wote wanapenda?
 
Wewe ndio Kabendera au agent njaa wake?
The same question goes to you:

Na wewe ni "agent njaa" wa nani kwani...?
"...Those who wage war must have wise guidance and many good advisors to win..."
Proverb 24:6
Inawezekana hata huielewi methali hii kwa kiingereza...

Mimi nakuwekea kwa kiswahili labda utaelewe logic yakeπŸ‘‡πŸ»

Methali 24:6 BHNTLK

"....Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana...."

Mr John P. Magufuli kwa washauri wake hao wengi alipata ushindi gani eti? He died, he's no more. He was completely defeated...!!
 
I am not your student obliged to diffuse whatever refuse is defecated in a polarized way.
 
Were you part of the monsters who exterminated his life?

Anyway, sown seeds come to life after rotting.......everybody will die including yourself
 
I am not your student obliged to diffuse whatever refuse is defecated in a polarized way.
You are my student whether you like it or not....

Your ignorance has to be put off by the teacher who is me...😁😁😁

Mkubwa, ukitulia na kutafakari haya mambo ukiwa free minded person, utajua kuwa kumbe ulikuwa hujui...

Everything done in the dark, finally it shall be put in the light...

Hata mambo yako wewe Mr Intelligence Justice unayoyafanyia gizani leo kwa kuwa ni ya giza, utafika wakati wa kuwekwa nuruni na utakuwa huna namna ya kujitetea zaidi ya kupiga magoti na kukiri kwa kinywa chako kuwa "MUNGU NIMEKOSA JUU YA MBINGU NA NCHI, NISAMEHE.."

Kwa heri, mchana mwema..
 
Rubbish
 
mhh interesting
naomba hicho kitabu kwa softcopy

Jifunzeni kuthamini kazi za watu nyie wamatumbi. Mtu ametenga muda wake, maarifa na gharama kuandika ili wewe ukipata bure?

Hii nchi kila mtu ni fisadi mmetofautiana viwango tu.
 
Jiwe alikuwa kabila mmoja na ZZK
Mbona mna hofu sana na JPM wakati hayupo kuwakwamisha kujinyakulia kiti cha enzi ya dunia?

Mtu hana uhai, hana pumzi, hawezi kujitetea dhidi ya tuhuma 'fictious' kwanini mna hofu naye?
 
Thank you...

However, I am not "rubbish". I am Mrs The Palm Beach

Don't panic. Unataka tujadiliane, basi twende tuendelee hoja kwa hoja. Hakuna sababu ya kuanza kutumia lugha za kejeli na kutweza utu wangu...

Ukianza kupanic, utatoka kwenye mstari wa hoja na utaingia kwenye zone ya matusi...

Mimi sitaki kwenda huko

Je, kosa langu hata kunipa jina la "takataka a.k.a Rubbish" ni kwa sababu tu ya kujitanabaisha kwako kuwa "mimi ni mwalimu wako?" Really ..???

I thought you are matured enough to handle pressure, kumbe you are not..

I am very sorry if I offended you anyhow.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…