Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Vipi kama alietaka kubakwa ameridhia umma ujue ? Yeye inamuuma sana pia...hakuna siri media zote hizi utazuiaje ? How ...huweziiiJe, mliosoma kitabu hii taarifa ni kweli au sio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama alietaka kubakwa ameridhia umma ujue ? Yeye inamuuma sana pia...hakuna siri media zote hizi utazuiaje ? How ...huweziiiJe, mliosoma kitabu hii taarifa ni kweli au sio kweli
Mjomba avatar yako emu itolee ufafanuzi kidogohuwa najiuliza hivi vitabu huwa vinapitiwa na wahariri before kutoa vibali kuwa public
au kuna pesa unalipa tu umemaliza vinawekwa public
Itakuwa alikuwa hajaunganishwa kwa kidotiKidot alikuwa kasafiri nini??
Nilitaka nikinunue niwape wote JF bure. Ila OTP ya simu haijilipia, hakuna soft copy, atauza nini? soft copy hupati
Wasukuma washamba sana; kwa pc zilizopo mjini na mamlaka aliyokuwa nayo hakuwa na sababu ya kuzunguka na pajama usiku wa manane😁😁😁😁Itakuwa alikuwa hajaunganishwa kwa kidoti
Wewe uliyeamini ndio mshamba!Wasukuma washamba sana; kwa pc zilizopo mjini na mamlaka aliyokuwa nayo hakuwa na sababu ya kuzunguka na pajama usiku wa manane😁😁😁😁
Kabendera hana tofauti na Ansbert Ngurumo, watu fulani wananunulika na hawaoni aibu kumchafua yoyote aliye nyumbani Tanzania wakishaingiziwa pesa kwenye akaunti zao.Mwambie alete ushahidi wa hilo tukio. Unaweza kuona dhamira ya huyu mwandishi Kabendera na ni mtu mwenye roho ya aina gani kumsingizia mtu kitu cha hovyo kama hicho.
Ana uwezo wa kutunga chochote kumdhalilisha na kumshushia hadhi mtu kwa pesa, umaarufu, chuki, kulipiza kisasi. Of course anajua wengi wenu ni naive, gullible, easily manipulated mnaamini chochote kilichoandikwa bila kuhoji, uthibitisho.
Wanasema mpaka mwisho wa mwezi huu ndo vitapatikana huku africa masharikimhh interesting
naomba hicho kitabu kwa softcopy
Ulitaka aongee lukas Mwashambwa ndiyo uaminiWewe uliyeamini ndio mshamba!
Lucas yuko Chadema kwa mkopo ndio ujue Ushamba wake una nafuu na anaijua ProtocolUlitaka aongee lukas Mwashambwa ndiyo uamini
Duuh, nadhani kuna kitu ufichoni mahali !Je, mliosoma kitabu hii taarifa ni kweli au sio kweli
Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.Je, mliosoma kitabu hii taarifa ni kweli au sio kweli
Mimi nadhani Mjomba Magu aliipenda Tanzania na viumbe vyake.Wasukuma washamba sana; kwa pc zilizopo mjini na mamlaka aliyokuwa nayo hakuwa na sababu ya kuzunguka na pajama usiku wa manane😁😁😁😁