Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.
View: https://www.youtube.com/watch?v=HfQqupIGlKM