Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Kabendera hana tofauti na Ansbert Ngurumo, watu fulani wananunulika na hawaoni aibu kumchafua yoyote aliye nyumbani Tanzania wakishaingiziwa pesa kwenye akaunti zao.

Kagame alituma watu wa kazi wakamuua mnyarwanda mmoja kule Afrika ya Kusini mwenye tabia kama hizi za Kabendera na Ngurumo.
 
Je, mliosoma kitabu hii taarifa ni kweli au sio kweli
Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.


View: https://www.youtube.com/watch?v=HfQqupIGlKM
 
Wasukuma washamba sana; kwa pc zilizopo mjini na mamlaka aliyokuwa nayo hakuwa na sababu ya kuzunguka na pajama usiku wa manane😁😁😁😁
Mimi nadhani Mjomba Magu aliipenda Tanzania na viumbe vyake.
Just imagine Uwe Waziri wa barabara miaka ishirini na unaizunguka nchi nzima kwa barabara kama madereva wa maroli makubwa,unajua kila kijiji cha Tanzania lakini umejaa pesa na wadhifa.
Mwanaume wa mbegu utamlaumu kwa lipi?
Mara vuu kaukwaa uheshemiwa namba mmoja, Raisi wa Jamhuri unaeishi kwenye mabano utawaona lakini huwezi kuwagusa.

Ikulu sio Mabibo hostel wala danguro.
Kabendera ananogesha story ili kuuza kitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…