Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Kabendera sio lukas Mwashambwa, Kabendera anajua anachokifanya;
 
Nimeisikiliza pia hii interview, jamaa anajua anachokiongea.

Anasema kuna mambo mengi sana alikuwa kayaandika ila wanasheria na waliopitia kitabu walimshauri ayatoe sasa fikiria angeandika yote ingekuwaje?

Swala la Ben jamaa kasema lilikuwa na pages 13, waliopitia na wanasheria waliondoa baadhi ya mambo mpaka kubaki page 3 tu, jiulize hilo jambo lina uzito kiasi gani?

Sijui kama hiki kitabu kitaingia maduka ya kibongo, naona kitauzwa huko huko Amazon.
 
Kabisa, jamaa anajiamini sana kwa alichokiandika.
 
Kabendera sio lukas Mwashambwa, Kabendera anajua anachokifanya;
Kabendera ni binadamu tu tena wa kawaida sana ndio maanake anaendelea kusoma ili apunguze ujinga.
Kabendera mwenyewe anakili kuwa mentor wake alikuwa mama yake,kifo cha mama yake mzazi kilimuacha njiapanda kwa maana kuna assignment, assessment, utungaji wa kamusi na mambo mengi yaliokuwa in progress, yanashughulikia yeye na mama yake bila mother amekuwa yatima wa knowledge.
Kwa rugha nyepesi Kabendera hajaweza kuvivaa viatu vya mama yake.Msamehe kwa hilo.
 
Bahati nzuri aliesndikwa yupo hai na ananguvu za juu kabisa, sio mnyonge, kama uongo tutajua
Hawezi kiri hilo lazima amsitiri marehemu. Kumbuka marehemu now ananuka kwa mauchafu so busara ni kupunguza unukaji huu kwa kukanusha yaliyoandikwa.
Ni sawa na kiongozi wa kidini anapoongoza ibada kuzika jambazi, malaya mara nyingi huwa wanapooza maneno.
 
Unachotakiwa kujua kabendera sio mjinga na haja kulupuka kuandika hicho kitabu;

Anaushahidi wa kitisha kwa kila alichoandika na ndio maana mpka sasa mamlaka ipo kmya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…