Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

nauliza tu kuna na nakala ya kiswahili kwa sababu nahisi kama nimewai kusoma kitabu kama hiki kwa lugha hiyo hiyo sehemu flan hv before Magufuri .Kabedera inavyoonekana kachomeka chomeka tu majina magufuri saa 8 ila content ndo ile ile kop and paste.
 
Hizi story za Eric Kabendera lazima zifuatiliwe kwa uangalifu sana!

Kuna sehemu kaandika ktk kitabu hiki kwamba Rais Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi kichwani yeye mwenyewe na Kisha akaagiza mwili wake ukatupwe katika mto Rufiji.

Nenda YouTube Erick Kabendera huyo huyo wakati akihojiwa na Mwanahabari Mohammed Ghassani anasema alipigiwa simu kuwa mwili wa Ben Saanane uko Hospitali na kweli akathibitisha ni wenyewe!

Hapa Kuna contradiction sana!!! Na maswali mengi sana!!
 
Tuambie wewe habari zisizo za uzushi kuhusu JPM.
Habari za kweli huwa haziuzi zinazouza ni zile ambazo ukizisikia unavuta kiti ulizipate kwa kirefu.

Uzushi una lengo la kumchafua marehemu JPM, angeachwa akapumzika amefanya mengi kwa kujitoa.

Sisi wa humu mitandaoni tunachojua ni kunyooshea watu vidole hatujui ni kwa kiasi gani wenye vyeo vikubwa wanavyokuwa tayari kujitoa mazima kwa ajili ya Tanzania hii tunayoishi.
 
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa akitaka kumbaka? Naona imeandikwa 'inadaiwa alienda chumbani kwa Samia akiwa kavaa pyjamas nyakati za usiku mnene.'
 
Habari za kweli huwa haziuzi zinazouza ni zile ambazo ukizisikia unavuta kiti ulizipate kwa kirefu.

Uzushi una lengo la kumchafua marehemu JPM, angeachwa akapumzika amefanya mengi kwa kujitoa.

Sisi wa humu mitandaoni tunachojua ni kunyooshea watu vidole hatujui ni kwa kiasi gani wenye vyeo vikubwa wanavyokuwa tayari kujitoa mazima kwa ajili ya Tanzania hii tunayoishi.
Marehemu alikiri hadharani kuwa yeye ni kichaa hivyo uwezekano wa kuwa kayafanya hayo yaliyoandikwa upo na haiwezekani kusema kwa 100% hakufanya maana ukisema hivyo basi itabidi nawe utoa ushahidi wa pasi na shaka kuwa hawezi kufanya hayo.

Daudi wa kwenye biblia alipanga njama mwanajeshi wake akauwawa na Daudi akamtwaa mke wa maregemu na akampiga mimba. Kumbuka Daudi ni mwandishi za zaburi.

Sasa kama Daudi alitenda dhambi hii pamoja na utakatifu wooote aliokuwa nao na kama biblia imeandika hayo tunayosoma ni ni ajabu kwa mtu kushangaa magufuli kaandikiwa kitabu kinachohusu uchafu wake.
 
marehemu alikiri hadharani kuwa yeye ni kichaa hivyo uwezekano wa kuwa kayafanya hayo yaliyoandikwa upo na haiwezekani kusema kwa 100% hakufanya maana ukisema hivyo basi itabidi nawe utoa ushahidi wa pasi na shaka kuwa hawezi kufanya hayo.
Daudi wa kwenye biblia alipanga njama mwanajeshi wake akauwawa na Daudi akamtwaa mke wa maregemu na akampiga mimba. Kumbuka Daudi ni mwandishi za zaburi. Sasa kama Daudi alitenda dhambi hii pamoja na utakatifu wooote aliokuwa nao na kama biblia imeandika hayo tunayosoma ni ni ajabu kwa mtu kushangaa magufuli kaandikiwa kitabu kinachohusu uchafu wake.
Ushahidi wa hayo yaliyofanyika upo wapi?. Kuhusu suala la Daudi ushahidi wote uliwekwa hadharani, huu wa JPM upo wapi?.

Kujiita yeye kichaa hakuhalalishi hizi tuhuma za kutungwa na kina Kabendera, hii ni sawa na sinema inayotengenezwa kutoka vichwani mwa watu.
 
Ushahidi upi unaoutaka wewe hebu sema hapa exactly unataka audio? picha? video?
 
Ushahidi wa hayo yaliyofanyika upo wapi?. Kuhusu suala la Daudi ushahidi wote uliwekwa hadharani, huu wa JPM upo wapi?.

Kujiita yeye kichaa hakuhalalishi hizi tuhuma za kutungwa na kina Kabendera, hii ni sawa na sinema inayotengenezwa kutoka vichwani mwa watu.
Kwa akili yako mtu akiwa kichaa bado huyo ni mtu wa kawaida?
 
Uzushi mtupu, kama ni habari zenye chembe ya ukweli aweke ushahidi hata wa video za kwenye simu ambazo siku hizi zimejaa kila mahali. Au ushahidi wa picha ya kuibia iliyopigwa wakati mheshimiwa akijiandaa kufanya hayo anayodaiwa kuyafanya.
Ni nani aliyekuambia kila ushahidi lazima uwe wa picha?
 
Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.

View: https://www.youtube.com/watch?v=HfQqupIGlKM

Hata kikiwa reviewed na wanasheria laki moja utakapofikia wakati wa kutakiwa kutoa ushahidi pasi na shaka yeyote hataweza kufanya hivyo.

Ushahidi wake ni wa kuambiwa, hivyo atahitaji kuwataja source wake na hakuna among his sources atakuwa tayari kurisk kwenda mbele kuthibitisha alivyomwambia kabendera.
 
Ninavyojua ramani ya majengo pale hiyo kitu haiwezekani unless kuwe na underground ya rais kutoka nyumba yake kwenda nyumba ya Samia ila vinginevyo haiwezekani. Subiri tuone mamlaka zinasemaje
 
Hata kikiwa reviewed na wanasheria laki moja utakapofikia wakati wa kutakiwa kutoa ushahidi pasi na shaka yeyote hataweza kufanya hivyo.

Ushahidi wake ni wa kuambiwa, hivyo atahitaji kuwataja source wake na hakuna among his sources atakuwa tayari kurisk kwenda mbele kuthibitisha alivyomwambia kabendera.
Unawajua waliomwambia?
 
Back
Top Bottom