The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
Habari za kweli huwa haziuzi zinazouza ni zile ambazo ukizisikia unavuta kiti ulizipate kwa kirefu.Tuambie wewe habari zisizo za uzushi kuhusu JPM.
Chizi na nusu ni sisi tunaopewa habari za uzushi halafu tukaziamini kwa asilimia mia moja.Kama alimuua Ben Saanane kwa bunduki yeye mwenyewe angeshundwaje kumbaka mama ytu? Yule jamaa alikuwa chizi na nusu
Uzushi mtupu, kama ni habari zenye chembe ya ukweli aweke ushahidi hata wa video za kwenye simu ambazo siku hizi zimejaa kila mahali. Au ushahidi wa picha ya kuibia iliyopigwa wakati mheshimiwa akijiandaa kufanya hayo anayodaiwa kuyafanya.Kwamba hatuwezi kuona anachoongea tukapima wenyewe?
Marehemu alikiri hadharani kuwa yeye ni kichaa hivyo uwezekano wa kuwa kayafanya hayo yaliyoandikwa upo na haiwezekani kusema kwa 100% hakufanya maana ukisema hivyo basi itabidi nawe utoa ushahidi wa pasi na shaka kuwa hawezi kufanya hayo.Habari za kweli huwa haziuzi zinazouza ni zile ambazo ukizisikia unavuta kiti ulizipate kwa kirefu.
Uzushi una lengo la kumchafua marehemu JPM, angeachwa akapumzika amefanya mengi kwa kujitoa.
Sisi wa humu mitandaoni tunachojua ni kunyooshea watu vidole hatujui ni kwa kiasi gani wenye vyeo vikubwa wanavyokuwa tayari kujitoa mazima kwa ajili ya Tanzania hii tunayoishi.
Ushahidi wa hayo yaliyofanyika upo wapi?. Kuhusu suala la Daudi ushahidi wote uliwekwa hadharani, huu wa JPM upo wapi?.marehemu alikiri hadharani kuwa yeye ni kichaa hivyo uwezekano wa kuwa kayafanya hayo yaliyoandikwa upo na haiwezekani kusema kwa 100% hakufanya maana ukisema hivyo basi itabidi nawe utoa ushahidi wa pasi na shaka kuwa hawezi kufanya hayo.
Daudi wa kwenye biblia alipanga njama mwanajeshi wake akauwawa na Daudi akamtwaa mke wa maregemu na akampiga mimba. Kumbuka Daudi ni mwandishi za zaburi. Sasa kama Daudi alitenda dhambi hii pamoja na utakatifu wooote aliokuwa nao na kama biblia imeandika hayo tunayosoma ni ni ajabu kwa mtu kushangaa magufuli kaandikiwa kitabu kinachohusu uchafu wake.
Ushahidi upi unaoutaka wewe hebu sema hapa exactly unataka audio? picha? video?Ushahidi wa hayo yaliyofanyika upo wapi?. Kuhusu suala la Daudi ushahidi wote uliwekwa hadharani, huu wa JPM upo wapi?.
Kujiita yeye kichaa hakuhalalishi hizi tuhuma za kutungwa na kina Kabendera, hii ni sawa na sinema inayotengenezwa kutoka vichwani mwa watu.
Aweke ushahidi wa video kwenye kitabu?Uzushi mtupu, kama ni habari zenye chembe ya ukweli aweke ushahidi hata wa video za kwenye simu ambazo siku hizi zimejaa kila mahali. Au ushahidi wa picha ya kuibia iliyopigwa wakati mheshimiwa akijiandaa kufanya hayo anayodaiwa kuyafanya.
Kwa akili yako mtu akiwa kichaa bado huyo ni mtu wa kawaida?Ushahidi wa hayo yaliyofanyika upo wapi?. Kuhusu suala la Daudi ushahidi wote uliwekwa hadharani, huu wa JPM upo wapi?.
Kujiita yeye kichaa hakuhalalishi hizi tuhuma za kutungwa na kina Kabendera, hii ni sawa na sinema inayotengenezwa kutoka vichwani mwa watu.
Ajabu sana aiseeAweke ushahidi wa video kwenye kitabu?
Ni nani aliyekuambia kila ushahidi lazima uwe wa picha?Uzushi mtupu, kama ni habari zenye chembe ya ukweli aweke ushahidi hata wa video za kwenye simu ambazo siku hizi zimejaa kila mahali. Au ushahidi wa picha ya kuibia iliyopigwa wakati mheshimiwa akijiandaa kufanya hayo anayodaiwa kuyafanya.
Hii habari kama hakuwasiliàna na mhusika kama aitoe ama là basi kafanya shambulia kwa mama. Na ànaweza kushtakiwa.Taarifa hizi za kubakana ni kama amemfanyia shambulizi baya mtu aliyebakia. Kulikuwa na haja gani kuandika jambo hili
Hata kikiwa reviewed na wanasheria laki moja utakapofikia wakati wa kutakiwa kutoa ushahidi pasi na shaka yeyote hataweza kufanya hivyo.Ukisikiliza Mahojiano yake na Ghassan, jamaa ameeleza vyema sana sana, Kabendera sio Garasa kama watu wanavyomuona. The guy alikua anajua anachokifanya, kabla ya kusoma kile kitabu chake, msikilize kwanza, anasema kimekua reviewed na wanasheria wengi sana na kwa kipindi kirefu sana, kuna baadhi ya sura zimekua reviewed zaidi ya mwaka mzima na experts tofauti tofauti. Jamaa ana sources nyingi sana ndani ya serikali. Kwakifupi anajua alichokiandika, ni mpumbavu tu atakayetaka ligi nae.
View: https://www.youtube.com/watch?v=HfQqupIGlKM
Unawajua waliomwambia?Hata kikiwa reviewed na wanasheria laki moja utakapofikia wakati wa kutakiwa kutoa ushahidi pasi na shaka yeyote hataweza kufanya hivyo.
Ushahidi wake ni wa kuambiwa, hivyo atahitaji kuwataja source wake na hakuna among his sources atakuwa tayari kurisk kwenda mbele kuthibitisha alivyomwambia kabendera.