OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Kwa nini hao watu huandika vitabu vyao kwa lugha ya mkolon wakati tuna lugha yetu nzuri tu ya taifa? Wanakuwa wamelenga nini hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hao watu huandika vitabu vyao kwa lugha ya mkolon wakati tuna lugha yetu nzuri tu ya taifa? Wanakuwa wamelenga nini hasa
Nimeisikilaza clip ya Erick Kabendera yote. Nimemuelewa kiasi. Alipata taarifa nyingi kuhusu mambo mengi. Kuna maelezo yake yana utata. Amesema eti Magufuli hakupenda kuhojiwa na wana habari. Lakini nakumbuka kuna mkutano wake aliulizwa maswali na waandishi na mmojawapo ni Pascal Mayala, mpaka akamtania kuwa jina lake lina maana ya njaa. Kuhusu Azory Gwanda kule Kibiti, naiunga mkono Serikali kwa dhati ya moyo wangu kukomesha mauaji ya maafisa wa serikali na Viongozi mbalimbali. Kama Jeshi au taasisi yoyote isingeingilia kati, leo hii Tanzania ya kusini au kote kabisa ingekuwa haitawaliki na tungekuwa tunakimbia na magodoro kama Congo na Nigeria kuwakimbia magaidi. Sikuwahi kuogopa kama kama kipindi hicho. Mashamba yalitelekezwa, watu waliacha kazi. Kabendera yuko sahihi kwa sehemu, ila mengine hapana.Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Sasa mbona na wewe unazidi kulisambaza?Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Kumbe shujaa uchwara alikuwa mbakaji pia !!Kabendera ni zaidi ya Chadema na Sinema 🐼
Usidhani Kabendera ni kichaa. Yule bwana alikuwa nusu mnyama.Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Ulitaka apige picha za pajama? Wee ukiwa unachepula hua unatangaza watu waje wapige picha?Mwambie alete ushahidi wa hilo tukio. Unaweza kuona dhamira ya huyu mwandishi Kabendera na ni mtu mwenye roho ya aina gani kumsingizia mtu kitu cha hovyo kama hicho.
Ana uwezo wa kutunga chochote kumdhalilisha na kumshushia hadhi mtu kwa pesa, umaarufu, chuki, kulipiza kisasi. Of course anajua wengi wenu ni naive, gullible, easily manipulated mnaamini chochote kilichoandikwa bila kuhoji, uthibitisho.
Umejuaje mambo ya uchu, upwiru ulikuwepo au ni imagination zako kutokana maneno ya Kabendera?
Bibi wa miaka 60, mwenye watoto kibao, wajukuu mke wanne wa mzee Hafidh, Rais anaweza ku-order binti yoyote wa miaka 25, mwenye shape, atake kubaka kweli.
Mazingira gani Rais anaweza kumbaka Makamu wa Rais?Story zozote za vijiweni nyie mtaamini.
Mnajaribu sana kumshushia heshima yake JPM hata mwendawazimu wa kuokota makopo, serial rapist asingewaza hayo, let alone kufanya huo uchafu, hamtafanikiwa kwenye huu mkakati wenu, tAchaayari mmefeli.
Acha kumkashifu rais wetu miaka 60 ya samia kuishi kwenye kiyoyozi unafikiri ni sawa na miaka 60 mtu baki raia wa kawaida ?mama samia ni pisi ya kwenda ni mzuri loohUmejuaje mambo ya uchu, upwiru ulikuwepo au ni imagination zako kutokana maneno ya Kabendera?
Bibi wa miaka 60, mwenye watoto kibao, wajukuu mke wanne wa mzee Hafidh, Rais anaweza ku-order binti yoyote wa miaka 25, mwenye shape, atake kubaka kweli.
Mazingira gani Rais anaweza kumbaka Makamu wa Rais?Story zozote za vijiweni nyie mtaamini.
Mnajaribu sana kumshushia heshima yake JPM hata mwendawazimu wa kuokota makopo, serial rapist asingewaza hayo, let alone kufanya huo uchafu, hamtafanikiwa kwenye huu mkakati wenu, tayari mmefeli.
Nikikimbuka yale ya RC Simiyu na Mwanajeshi Dodoma. Yapo mengi kweliKwa nchi yetu hii, Mambo ya hovyo mengi Sana, Mkapa alipigwa na mke wake akavunjwa mguu, Kuna CEO, mmoja, Mambo ya unyanyasaji kijinsia yamejaa Sana kwenye serikali,
Sasa hivi tutakuwa tukimwangalia mara tunaanza kupata hisia za kile alichokiandika bwana kaflag!Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Yaani Mnamwongelea magu kama vile aliishi enzi za nyerere. As if sisi wengine hatukuwepo.Mimi nadhani Mjomba Magu aliipenda Tanzania na viumbe vyake.
Just imagine Uwe Waziri wa barabara miaka ishirini na unaizunguka nchi nzima kwa barabara kama madereva wa maroli makubwa,unajua kila kijiji cha Tanzania lakini umejaa pesa na wadhifa.
Mwanaume wa mbegu utamlaumu kwa lipi?
Mara vuu kaukwaa uheshemiwa namba mmoja, Raisi wa Jamhuri unaeishi kwenye mabano utawaona lakini huwezi kuwagusa.
Ikulu sio Mabibo hostel wala danguro.
Kabendera ananogesha story ili kuuza kitabu.
Marehemu aliwahi kukiri mama anamvuruga🤣🤣🤣 itakuwa hiyo siku upwiru ulikaba koo, ila baba ajifunze, wakati yeye kaenda kulala mitala huku wenzie wanataka kumsolea mke🤣Acha kumkashifu rais wetu miaka 60 ya samia kuishi kwenye kiyoyozi unafikiri ni sawa na miaka 60 mtu baki raia wa kawaida ?mama samia ni pisi ya kwenda ni mzuri looh
Inawezekana kina baraka na jumba jeupeM
Mwaka wa uchaguzi huu.... Nasikia KULE kwa kijani Kuna makundi.... Kambi ya mwendazake na ya aliyepo, ili kunyong'onyeza Kambi pinzani... Yamemwagwa haya!
Taarifa sio ya hovyo, bali aliyetaka kutenda tendo hilo ndiye wa hovyo.Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Weka ushahidi wowote tu.Ushahidi upi unaoutaka wewe hebu sema hapa exactly unataka audio? picha? video?
Nyinyi wanaharakati wa humu jamvini akili zenu zinaeleweka, mwananchi wa kawaida anayefaidika na zahanati huko mikoani hana kabisa fikra hizi za kwenu.Amefanya mengi kwa kutoa roho za watu sio kwa kujitoa