DaaaaahHuyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga?
Kama bado anasubiri nini?
Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late.
Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC.
Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba tungeshinda.
Yanga sio timu ya majaribio na kukuza profile za makocha.
#Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Wengine tunaupenda,tunaujua na uvumilivu tunao.WaTanzania mpira mnaupenda uvumilivu hamna.
Ww ulitaka aingie nan badala ya Abuya na Muda,Maana wote wachezaji wa yangaShida nyingi za wachezaji zinasababishwa na huyo tapeli Manqoba.
Wanasema angeingia Sure boyWw ulitaka aingie nan badala ya Abuya na Muda,Maana wote wachezaji wa yanga
Ataingia mechi ijayoWanasema angeingia Sure boy
Hapa unamualika ScarsNi tapeli kama mwamba wa Uzebakstan
View attachment 3689082
Man U bado wana Carrick , na timu nyingi za Ulaya wanavumilia sana makocha .WaTanzania mpira mnaupenda uvumilivu hamna.
Simba walikuwa na matatizo yote.Same Script..
Hata Simba nao walikuwa hivyo hivyo kabla ya kutimua magalasa akina Mutale na kusajili akina Gueye,, walikuwa wakijificha kwenye kichaka cha " makocha" ....
Kwani Yanga haishindi?Man U bado wana Carrick , na timu nyingi za Ulaya wanavumilia sana makocha .
Bongo mashabiki Wanataka kila siku ushinde , Arteta angekuwa bongo kipindi kile anafanya vibaya tayari Hana kazi