Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

Wengine tunaupenda,tunaujua na uvumilivu tunao.

Manqoba hatosho kuinoa Yanga.

Badala ya kukuza viwango vya wachezaji anaviua.

Timu inapata tabu sana kupata ushindi.

Ukiona mechi Yanga kashinda nne ujue tulitakiwa kushinda 8.

Kwenye sub hata mimi namzidi maarifa.

Akifanya sub tu timu inakosa balance na kufa kabisa.
😂😂😂😂😂 mie huku Roho kwatuuuuu.
 
Yes sure boy alikuwa ni chaguo sahihi zaidi.

Kwanza mzoefu na anajua mikikimikiki ya dabi.

Badala yake tapeli Manqoba anamuingiza Mwijage.
😂😂😂😂 kweli Uto mmeishiwa wachezaji wallah.
 
Mjomba una hoja nzuri. Sema tu umeileta jukwaani huku ukiwa una hasira kali. Huyo kocha ni ukweli uwezo wake siyo mkubwa kihivyo (na hasa kwenye kipengele cha mbinu).
Jamaa ni mbahatidmshaji tu. Sub zake anazofanya ni ushahidi tosha.

Lakini kusema yeye ni TAPELI! Kwa hapa nakataa. Kwa sababu ameajiriwa kihalali na uongozi wa klabu baada ya kujiridhisha anafaa kama ilivyokuwa kwa yule Roman Folz. Kwa hiyo tusimuite majina asiyostahili.

Natambua fika haya matokeo ya kufungwa yametuumiza mashabiki, wachezaji, wanachama, viongozi, benchi la ufundi, na hata wachezaji wenyewe.
Tukubali mpira ni mchezo wa makosa. Tumefanya makosa, tumeadhibiwa. Tujipange kwa michezo mingine ya ligi.

Beki zenyewe ni akina Mwamnyeto waliofungwa magunia ya misumari miguuni! Hata akija Pep Guardiola unategemea ataweza kuwakimbiza akina Libase Gueye na Ellie Mpanzu?

Ikitokea makosa na madhaifu yake yakaendelea kutawala basi uongozi una haki ya kusitisha mkataba wake.
😂😂😂😂
 
Uliangalia mechi na Geita?

Uliangalia mechi na Gaborone Fc?

Mechi na Simba umeona unyanyasaji aliofanyiwa Yanga?

Uliangalia Yanga ya Gamondi iliavyompeleka puta Mamelodi?

Kwanini licha ya Yanga kutolewa na Mamelodi watu hawakupiga kelele Gamondi afukuzwe?

Simply because Yanga alionesha kiwango cha juu sana ambacho mtu yoyote akiitazama timu anaona ina kitu kikubwa na very promising inacho.

Sasa hii Yanga ya mpigwa miti kila siku inazidi kuwa mbovu.

Mechi na Gaborone FC tumenyanyasika kibahatibahati tukaokolewa na Mwalimu.

Mechi na Simba ni zaidi ya unyanyasaji.

Yanga tulizidiwa kila angle na hata ukiitazama timu uoni inachokupromise zaidi ya kuona inazidi kuelekea shimoni tu.

Kwa kifupi akiendelea kubaki huyu mpigwa miti Yanga itaaibika sana tu.
😂😂😂😂
 
Bawshee mlipiga mpira mkubwa sana mpaka nikawa nashangaa hawa makolo huu mpira wameutoa wapi!

Daah kuanzia ball possession shots on target mpaka passes uko kote mmetukaanga.

Ila ndio soka acha tujipange tutarudi tena tukiwa strong.
Makolo huu ndio mpira wao, useme kuna wakati tu upepo mbaya unawapitia.

Hilo pira biriani. Pira sambusa, Pira kachori, ndio falsafa ya Mnyama.
Barca ya Bongo.
 
Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga?

Kama bado anasubiri nini?

Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late.

Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC.

Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba tungeshinda.

Yanga sio timu ya majaribio na kukuza profile za makocha.

#Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Laana ya kumuacha Miloud kizembe kisa kujiona ni Perez, kujiona ana jicho la kuchagua makocha wazuri bado inamuandama Engineer. Kila anapogusa hola, alifanyia uhuni sana yule Miloud. Kocha amekupa mataji yote halafu mechi inayobeba hatima ya ubingwa ni dhidi ya Simba halafu anashinda kwa kishindo. Halafu unaacha kukaa nae chini kwaajili ya kuongeza mkataba unamfungia vioo.

Huyu Manqoba nilijua kutaja majina majina ya mpinzani ingemsaidia kujua nini anatakiwa kufanya kiwanjani ila ni bure kabisa. Yanga ilicheza na wapinzani wagumu na kikosi cha kawaida lakini sijawahi kuangalia mpira nikiombea uishe. Ila leo hii eti Gaborone, Geita na Simba wanatufanya tunaomba refa amalize mpira. Na tushukuru Mungu goli la kusawazisha Simba walipata kwa kuchelewa na pia baada ya kupata goli la pili Simba wali relax hawakuwa na ile spirit ya kutaka magoli mengine ila laasivyo tulikuwa tunapigwa tano. Na ile ndio ilikuwa ndio mechi ya Simba kulipa kisasi cha goli tano kwasababu Manqoba alipwaya kimbinu na ufundi. Halafu sub zake yeye kakariri wakina Mwijage na Chuga boy bila hata kuangalia mechi inamuhitaji wa namna gani.
 
Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga?

Kama bado anasubiri nini?

Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late.

Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC.

Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba tungeshinda.

Yanga sio timu ya majaribio na kukuza profile za makocha.

#Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Ingekuwa wakimtoa andaondoka tu..wangekuwa wameshamuondoa...ukiona bado yupo itakuwa sio kwa matakwa yao bali kushindwa kutimiza malipo makubwa yanayotakiwa kulipa kwa kuvunja mkataba.
 
Kufungwa mechi moja mnataka kocha afukuzwe....
Vilab vya Simba na Yanga vinaendeshwa na mihemko ya mashabik ndio maana havifanikiwi zaidi kubadilisha makocha Kila baada ya derby.
 
Huyu Manqoba ni bonge la kocha...Ameifanya yanga wachezaji wamekuwa fiti sana, wana pulling ya kutosha... uwanjani wanakaba ile full man marking utafikiri ni kile kikosi cha Atalanta Bergamasca Calcio chini ya Gian Piero Gasperini... Hata Bayer Leverkusen na unbeaten yao domestically walivyowakuja Fainali Europa walibondwa kama watoto.
 
Mjomba una hoja nzuri. Sema tu umeileta jukwaani huku ukiwa una hasira kali. Huyo kocha ni ukweli uwezo wake siyo mkubwa kihivyo (na hasa kwenye kipengele cha mbinu).
Jamaa ni mbahatidmshaji tu. Sub zake anazofanya ni ushahidi tosha.

Lakini kusema yeye ni TAPELI! Kwa hapa nakataa. Kwa sababu ameajiriwa kihalali na uongozi wa klabu baada ya kujiridhisha anafaa kama ilivyokuwa kwa yule Roman Folz. Kwa hiyo tusimuite majina asiyostahili.

Natambua fika haya matokeo ya kufungwa yametuumiza mashabiki, wachezaji, wanachama, viongozi, benchi la ufundi, na hata wachezaji wenyewe.
Tukubali mpira ni mchezo wa makosa. Tumefanya makosa, tumeadhibiwa. Tujipange kwa michezo mingine ya ligi.

Beki zenyewe ni akina Mwamnyeto waliofungwa magunia ya misumari miguuni! Hata akija Pep Guardiola unategemea ataweza kuwakimbiza akina Libase Gueye na Ellie Mpanzu?

Ikitokea makosa na madhaifu yake yakaendelea kutawala basi uongozi una haki ya kusitisha mkataba wake.
Nakubaliana na wewe ktk aspects kadhaa hapo uliposema na kuna sehemu moja nakataa kabisa endapo kama nimekuelewa vyema hapo mwishoni.

1. Kocha mbinu amefeli, sio kabla ya mechi wala ndani ya Game.

2. Ukiachana na Derby, game kadhaa nyuma Yanga ilikuwa inacheza mpira usioridhisha sana licha ya kuwa na kikosi kipana na kikubwa. Kwahiyo muendelezo mbovu wa uchezaji ww timu unaleta mashaka kwa timu ktk matokeo yajayo.

3. Simba sio kwamba ametufunga tu bali ameonesha quality kubwa sana kuliko sisi wenye kila kitu. Walau tungeona mpira ukichezwa kisha tungesema ni derby tu tukadondoka ila kiwango cha mpira kimekuwa ni kibovu kwa Yanga.

4. Kusema kwamba tuendelee kuangalia makosa na mapungufu kisha asitishiwe mkataba mimi hapo NAKATAA, ni game kadhaa tumeziona before derby timu ikiwa chini ya kiwango. Mind you kwamba hata wachambuzi washamba washamba waliipa Yanga 10% ya ushindi mbele ya Simba.
 
Mkuu ni hivi; maendeleo ni muonekano hata kama ni jambo la hatua ila tunapima kwa mwenendo unaelekea nao. Yanga jinsi ilivyoanza na jinsi inavyokuwa kadri siku zinavyozidi kwenda sio mwenendo mzuri bali ni mwenendo mbaya. Kwenye mpira kabla ya matokeo huwa tunaangalia performance ya timu. Mfano ile mechi ya juzi hata Simba wangekuwa wamefungwa goli moja hadi mwisho lakini walichoonesha kiwanjani ni performance ya hali ya juu dhidi ya mpinzani wake na wangetoka na kitu positive.

Yanga imecheza na Fountain gate, Pamba unaona kabisa timu inachemea chemea. Imecheza na Geita na Gaborone kisha mashabiki tunaomba msaada wa refa apulize filimbi mpir uishe. Hapo ni against timu za kawaida tu, imekuja mechi ya Simba ikamalizia kuonesha madhaifu ya timu. Halafu unasema apewe muda upi wakati kadri siku inavyozidi kwenda timu haisogei mbele kwenye performance?

Tuliona kwa Nabi, Gamondi na Miloud hata timu ikiwa haijapata matokeo ila unaona mwanga kuwa tunaelekea kuzuri hivyo tumpe muda kocha. Sasa tumpe muda kwa lipi? La kufanya Yanga sehemu ya kukuzia vipaji vya watoto ndilo la maana kwa timu? Mkuu embu nishawishi ni kipi positive kwa huyu kocha ulichokiona ili tumvumilie.
Umesema ukweli na umeongea kama mtu ambae umetumia akili na sio hisia. Timu ina perfomance mbaya.

Derby ambayo Simba alidraw kule Isamuyo walijipa imani kwa kocha wao kuwa kuna kitu kinatengenezwa.

Tuna game kama 3 hivi kabla ya derby tunaona timu ikisuasua. Simba sio timu mbovu ila ukiichukua Simba mbele ya Yanga, Yanga ana squad pana zaidi. Hatuwezi kufungwa mbili na bado mpira tukapigishwa kiasi kile.
 
Huyu tapeli wamemchekea sana.

Alitakiwa mechi na Simba tu ilivyoisha afungashe virago vyake.
 
Back
Top Bottom