SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Simba walikuwa na matatizo yote.
Tatizo la wachezaji duni(Mukwala,Mutale,nk) na makocha duni.
Kwa sasa wamebaki na baadhi ya wachezaji duni mfano Doumbia ila kocha wanaye.
Yanga wana tatizo na kocha sio wachezaji.
Wachezaji hao hao nakuhakikishia ukimpa mtu kama miloudi au Gamondi utaona timu itakavyobadilika kiuchezaji.
Ndio hivyoMan U bado wana Carrick , na timu nyingi za Ulaya wanavumilia sana makocha .
Bongo mashabiki Wanataka kila siku ushinde , Arteta angekuwa bongo kipindi kile anafanya vibaya tayari Hana kazi
Wabongo wengi mpira hatujui, kocha hata miezi 6 hajafikisha, timu wachezaji wengi wageni wanataka afanye nini!WaTanzania mpira mnaupenda uvumilivu hamna.
Kama shida ni kocha basiWengine tunaupenda,tunaujua na uvumilivu tunao.
Manqoba hatosho kuinoa Yanga.
Badala ya kukuza viwango vya wachezaji anaviua.
Timu inapata tabu sana kupata ushindi.
Ukiona mechi Yanga kashinda nne ujue tulitakiwa kushinda 8.
Kwenye sub hata mimi namzidi maarifa.
Akifanya sub tu timu inakosa balance na kufa kabisa.
Hivi unaamini kabisa Yanga hii itachukua klabu bingwa?Kama shida ni kocha basi
Msipojiangalia na uwekezaji wote huu ligi ya mabingwa mnaenda kupoteza
Tupo desperate na matokeo tunayotala ni ya aina Moja tu.Wabongo wengi mpira hatujui, kocha hata miezi 6 hajafikisha, timu wachezaji wengi wageni wanataka afanye nini!
Kocha wa Simba ana mwaka na maingizo kwenye timu yake hayazidi 2 timu lazima iwe vizuri!
Tuwe na subra!
sijui ila lolote linawezekanaHivi unaamini kabisa Yanga hii itachukua klabu bingwa?
Kabisa unaamini hivyo?
Chini ha huyu kocha hata tukitoboa makundi ni jambo la kushkuru sana.
Kama Geita,Gaborone fc na Simba wanakutoa jasho na kukunyanyasa fikiria hiyo klabu bingwa itakuwaje na unakutana na timu zenye quality ya juu.
Kwa kifupi hakuna matumaini ya Yanga kufanya vizuri klabu bingws kama tunabaki na Manqoba.
Kama bado yupo Hadi Sasa itakuwa anatumia ndumba sio BureHuyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga?
Kama bado anasubiri nini?
Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late.
Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC.
Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba tungeshinda.
Yanga sio timu ya majaribio na kukuza profile za makocha.
#Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Mkuu ni hivi; maendeleo ni muonekano hata kama ni jambo la hatua ila tunapima kwa mwenendo unaelekea nao. Yanga jinsi ilivyoanza na jinsi inavyokuwa kadri siku zinavyozidi kwenda sio mwenendo mzuri bali ni mwenendo mbaya. Kwenye mpira kabla ya matokeo huwa tunaangalia performance ya timu. Mfano ile mechi ya juzi hata Simba wangekuwa wamefungwa goli moja hadi mwisho lakini walichoonesha kiwanjani ni performance ya hali ya juu dhidi ya mpinzani wake na wangetoka na kitu positive.Wabongo wengi mpira hatujui, kocha hata miezi 6 hajafikisha, timu wachezaji wengi wageni wanataka afanye nini!
Kocha wa Simba ana mwaka na maingizo kwenye timu yake hayazidi 2 timu lazima iwe vizuri!
Tuwe na subra!
Uliangalia mechi na Geita?Kwamba mechi moja tu afukuzwe? Vyura mna shida kubwa
Bwashee sitaki kusema sana kwa sababu wewe ni ndugu yangu wa damu😅😅 ile kiukweli tuliwabaka bila kilainishi😁Uliangalia mechi na Geita?
Uliangalia mechi na Gaborone Fc?
Mechi na Simba umeona unyanyasaji aliofanyiwa Yanga?
Uliangalia Yanga ya Gamondi iliavyompeleka puta Mamelodi?
Kwanini licha ya Yanga kutolewa na Mamelodi watu hawakupiga kelele Gamondi afukuzwe?
Simply because Yanga alionesha kiwango cha juu sana ambacho mtu yoyote akiitazama timu anaona ina kitu kikubwa na very promising inacho.
Sasa hii Yanga ya mpigwa miti kila siku inazidi kuwa mbovu.
Mechi na Gaborone FC tumenyanyasika kibahatibahati tukaokolewa na Mwalimu.
Mechi na Simba ni zaidi ya unyanyasaji.
Yanga tulizidiwa kila angle na hata ukiitazama timu uoni inachokupromise zaidi ya kuona inazidi kuelekea shimoni tu.
Kwa kifupi akiendelea kubaki huyu mpigwa miti Yanga itaaibika sana tu.
Hakuna cha kocha wale nyumbu walitepeta na pira sambusaHatuwezi kufukuza kocha anayetaka kutupa ubingwa wa afrika au wewe hutaki tuwe mabingwa wa Afrika.
Bawshee mlipiga mpira mkubwa sana mpaka nikawa nashangaa hawa makolo huu mpira wameutoa wapi!Bwashee sitaki kusema sana kwa sababu wewe ni ndugu yangu wa damu😅😅 ile kiukweli tunawabaka bila kilainishi😁
Unyanyasike na timu za daraja dogo kina Geita na Gaborone.Hatuwezi kufukuza kocha anayetaka kutupa ubingwa wa afrika au wewe hutaki tuwe mabingwa wa Afrika.