REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Hebu weka hiyo clip au link akisema hivyoInjinia raisi wa Yanga alipokua sauzi Africa alipoulizwa swali anaona timu gani zitacheza fainali ya club Bingwa alisema ni Mamelode na Alhly...anzeni nae kwanza
Yani mshindwe kuandamana sababu, ya gharama za maisha, katiba mpya nk ambavyo vinaathiri mpaka vizazi vyako , uje uandamane kisa mamipira ambayo ni anasa? Inaonesha kiasi gani watanzania ni wapuuzi na wajinga. Hatuna akili ya kujua vipaumbele na ndio maana wanasiasa wanatumia mpira kama mtaji wao kisiasa. Stupid.Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
Usituoe kwenye hoja kiongozi hii siyo mada ya siasa na kama kiandamana kuhusu agenda unazosema watu si wameandamana mkapewa na ulinzi kabisa mlianza mwanza, mkaenda mbeya mkaenda arusha mkaja dar es salaam yani full ulinzi so kama unaona haitoshi anzisha mandamano mama kizimkazi karuhusu kabisaYani mshindwe kuandamana sababu, ya gharama za maisha, katiba mpya nk ambavyo vinaathiri mpaka vizazi vyako , uje uandamane kisa mamipira ambayo ni anasa? Inaonesha kiasi gani watanzania ni wapuuzi na wajinga. Hatuna akili ya kujua vipaumbele na ndio maana wanasiasa wanatumia mpira kama mtaji wao kisiasa. Stupid.
Tunaanzia makao makuu jangwani mpaka TFF kufikisha ujumbe waupeleke CAFMnaanzia wapi na mnaishia wapi?
Mtani tulia wanainchi tuna hili jambo letu kwanza, wewe sikilizia msimu ujao pengine unaweza kuwa na agenda na weweMtathibitisha yale maneno ya Manara. Kweli.Jangwani ni wawili tu...mliobaki hamnazoππ
πππ kumbuka bado siku kumi na moja wanaichi waje kupiga kwenye mshono mambo ya hamsa umekumbukaAsante sana refa.....mji umepoa sasa......wana Simba tungeishi maisha magumu sana......
View attachment 2956085
Uko sahihi Kiongozi yaani Nchi inapelekwa msobemsobe na watu wako kimya kabisa wanaona ni normal sotuation ila kwenye issue ya Mamelody ndo tuandamane hii ni ajabu kweli kweli. Mambo ya msingi kabisa kama wizi wa Kura na Upokwaji wa Matokeo kwenye Chaguzi mbalimbali tuna yafumbia macho badala ya kuandamana na kudai haki itendeke sisi tunakaa kimya. Acha tuendelee kama ilivyo kawaida yetu Watanzania yale ya "Waajemi na Wamedi" yaloandikwa kwenye (Esta 1:19) Kamwe hatuyawezi.Yani mshindwe kuandamana sababu, ya gharama za maisha, katiba mpya nk ambavyo vinaathiri mpaka vizazi vyako , uje uandamane kisa mamipira ambayo ni anasa? Inaonesha kiasi gani watanzania ni wapuuzi na wajinga. Hatuna akili ya kujua vipaumbele na ndio maana wanasiasa wanatumia mpira kama mtaji wao kisiasa. Stupid.
Jambo la muhimu ni kuwa Yanga kutolewa hayo mengine hayana umuhimu.....πππ kumbuka bado siku kumi na moja wanaichi waje kupiga kwenye mshono mambo ya hamsa umekumbuka