Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
Naunga mkono hoja.
Kama vipi tukutane pale Jangwani tuanze maandamano ya amani na mabango yetu Hadi Ikulu Kwa Mama.

Ili mradi tu tufikishe ujumbe ili FIFA wapate ujumbe.

Pia tutumie nafasi hiyo kumshukuru Mama Kwa kutulipia nauli na posho mashabiki tulioenda South kucheki game.
 
Kafanye kazi. Kina Aziz K wapo kazini na wanalipwa.
 
Usituoe kwenye hoja kiongozi hii siyo mada ya siasa na kama kiandamana kuhusu agenda unazosema watu si wameandamana mkapewa na ulinzi kabisa mlianza mwanza, mkaenda mbeya mkaenda arusha mkaja dar es salaam yani full ulinzi so kama unaona haitoshi anzisha mandamano mama kizimkazi karuhusu kabisa

Wewe anzisha tutakusupport tu kama mbeya, mwanza arusha na dar tulisupport
Wenzenu kina Gharib na viongozi wenye vipato vikubwa dakika mbili baada ya mechi, simu zao zilikuwa busy, kupanga mikakati ya biashara zao na namna ambavyo wataendelea kuchuma fedha za wajinga, nyie watu wa Uswazi, mnaoishi kama mbwa koko, bado mnalilia mambo ambayo hayawaingizii hata senti tano au elimu. Kweli bora uzae mwizi mjanja, kuliko toto jinga kama wewe. Hapo ulipo utakuwa hata shughuli ya kufanya ya maana yakuingiza kipato huna! Idiot at his/her summit!
 
Injinia raisi wa Yanga alipokua sauzi Africa alipoulizwa swali anaona timu gani zitacheza fainali ya club Bingwa alisema ni Mamelode na Alhly...anzeni nae kwanza
Malipo hapa hapa duniani waliwadhulumu ihefu holi la tano 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wenzenu kina Gharib na viongozi wenye vipato vikubwa dakika mbili baada ya mechi, simu zao zilikuwa busy, kupanga mikakati ya biashara zao na namna ambavyo wataendelea kuchuma fedha za wajinga, nyie watu wa Uswazi, mnaoishi kama mbwa koko, bado mnalilia mambo ambayo hayawaingizii hata senti tano au elimu. Kweli bora uzae mwizi mjanja, kuliko toto jinga kama wewe. Hapo ulipo utakuwa hata shughuli ya kufanya ya maana yakuingiza kipato huna! Idiot at his/her summit!
Pengine kiumri ni mdogo au ulikuwa bado ujafika mjini au ulikuwa ujui mambo ngoja nikwambie vyama vya upinzani Tz vishapoteza mvuto kwa vijana kutokana na tabia za viongozi tabia za kimalaya malaya, kukosa misimamo kununulika kirahisi kusalitiana kupenda madaraka hivyo inafanya mkose ushawishi kama zamani

Ngoja nikuulize mwaka 1995 ulikuwa wapi kipindi Mrema anaagombea urais kupitia NCCR mageuzi ulikuwepo au ulikuwa bado upo vijijini uko ujui chochote basi kipindi hicho vijana walijitoa sana mpka baba wa mtoto wa hayati nyerere akawa mpinzani bwana makongoro nyerere alikuwa NCCR MAGEUZI yule na alikiwasha vijana walihamasika mpaka nyerere akamua kumsaidia mkapa kupiga kampeni akizunguka nchi nzima ila kipi kilifanya NCCR ipoteze mvuto na wanaichi kuipa kipaumbele CUF ni hizo hizo tabia za kimala malaya nilozosema

Haya mwaka 2000 ulikuwepo pale CUF ndio habari ya mjini vijana wanajitoa kwa hali na mali tunaimba ule wimbo wa CUF

Unawajua kina marehemu kasanga tumbo wewe so tulizana usione watu wapuuzi au wajinga wasipoongelea siasa maana tunazijua siasa za bongo ni njaa njaa tu na hakuna mwana siasa mpinzani wa bongo anayeweza toa watu ndani kwa sasa wakaandamane kwa sababu hakuna mvuto Pengine makonda aende ulinzani anaweza cause kaonyesha kitu ambacho watanzania wanakitaka kwa sasa ukweli na uwajibikaji

Kwaiyo ukija jukwaani hapa ukiona watu wana jadili mada furani kama haupo interested nayo tulia usilete ujuaji kugeuza wenzako mahuja wewe ndio una akili sana kwa kuwambia fanyeni hivi tulia pia acha dharau maana uandishi wako inaonekana wewe ni kijana mdogo ujui vitu bali unaiga iga vitu na una ushamba furani hivi maisha hayapo hivyo relax usikaze sana utazeeka
 
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
Yanga inaksbiliwa na Mechi za NBC Premier League pia mechi za Azam Confederations, elekezeni nguvu kui support timu huko, achaneni na yaliyokwisha kutokea.
 
Hivi mimi kwenye maelezo yangu yote ni wapi nimezungumzia mambo ya upinzani? Rudia usome tena uelewe.
 
Wenzenu kina Gharib na viongozi wenye vipato vikubwa dakika mbili baada ya mechi, simu zao zilikuwa busy, kupanga mikakati ya biashara zao na namna ambavyo wataendelea kuchuma fedha za wajinga, nyie watu wa Uswazi, mnaoishi kama mbwa koko, bado mnalilia mambo ambayo hayawaingizii hata senti tano au elimu. Kweli bora uzae mwizi mjanja, kuliko toto jinga kama wewe. Hapo ulipo utakuwa hata shughuli ya kufanya ya maana yakuingiza kipato huna! Idiot at his/her summit!
Inasikitisha sana
 
Pengine kiumri ni mdogo au ulikuwa bado ujafika mjini au ulikuwa ujui mambo ngoja nikwambie vyama vya upinzani Tz vishapoteza mvuto kwa vijana kutokana na tabia za viongozi tabia za kimalaya malaya, kukosa misimamo kununulika kirahisi kusalitiana kupenda madaraka hivyo inafanya mkose ushawishi kama zamani

Ngoja nikuulize mwaka 1995 ulikuwa wapi kipindi Mrema anaagombea urais kupitia NCCR mageuzi ulikuwepo au ulikuwa bado upo vijijini uko ujui chochote basi kipindi hicho vijana walijitoa sana mpka baba wa mtoto wa hayati nyerere akawa mpinzani bwana makongoro nyerere alikuwa NCCR MAGEUZI yule na alikiwasha vijana walihamasika mpaka nyerere akamua kumsaidia mkapa kupiga kampeni akizunguka nchi nzima ila kipi kilifanya NCCR ipoteze mvuto na wanaichi kuipa kipaumbele CUF ni hizo hizo tabia za kimala malaya nilozosema

Haya mwaka 2000 ulikuwepo pale CUF ndio habari ya mjini vijana wanajitoa kwa hali na mali tunaimba ule wimbo wa CUF

Unawajua kina marehemu kasanga tumbo wewe so tulizana usione watu wapuuzi au wajinga wasipoongelea siasa maana tunazijua siasa za bongo ni njaa njaa tu na hakuna mwana siasa mpinzani wa bongo anayeweza toa watu ndani kwa sasa wakaandamane kwa sababu hakuna mvuto Pengine makonda aende ulinzani anaweza cause kaonyesha kitu ambacho watanzania wanakitaka kwa sasa ukweli na uwajibikaji

Kwaiyo ukija jukwaani hapa ukiona watu wana jadili mada furani kama haupo interested nayo tulia usilete ujuaji kugeuza wenzako mahuja wewe ndio una akili sana kwa kuwambia fanyeni hivi tulia pia acha dharau maana uandishi wako inaonekana wewe ni kijana mdogo ujui vitu bali unaiga iga vitu na una ushamba furani hivi maisha hayapo hivyo relax usikaze sana utazeeka
Kuandamana au kufanya vurugu kwa sababu ya mpira ni wendawazimu.
 
Ilipouzwa bandari hukuandamana
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
 
Una wazo kama langu ingepigwa rally Moja sio TU Caf dunia nzima ijue wazo zuri sana
 
Pengine kiumri ni mdogo au ulikuwa bado ujafika mjini au ulikuwa ujui mambo ngoja nikwambie vyama vya upinzani Tz vishapoteza mvuto kwa vijana kutokana na tabia za viongozi tabia za kimalaya malaya, kukosa misimamo kununulika kirahisi kusalitiana kupenda madaraka hivyo inafanya mkose ushawishi kama zamani

Ngoja nikuulize mwaka 1995 ulikuwa wapi kipindi Mrema anaagombea urais kupitia NCCR mageuzi ulikuwepo au ulikuwa bado upo vijijini uko ujui chochote basi kipindi hicho vijana walijitoa sana mpka baba wa mtoto wa hayati nyerere akawa mpinzani bwana makongoro nyerere alikuwa NCCR MAGEUZI yule na alikiwasha vijana walihamasika mpaka nyerere akamua kumsaidia mkapa kupiga kampeni akizunguka nchi nzima ila kipi kilifanya NCCR ipoteze mvuto na wanaichi kuipa kipaumbele CUF ni hizo hizo tabia za kimala malaya nilozosema

Haya mwaka 2000 ulikuwepo pale CUF ndio habari ya mjini vijana wanajitoa kwa hali na mali tunaimba ule wimbo wa CUF

Unawajua kina marehemu kasanga tumbo wewe so tulizana usione watu wapuuzi au wajinga wasipoongelea siasa maana tunazijua siasa za bongo ni njaa njaa tu na hakuna mwana siasa mpinzani wa bongo anayeweza toa watu ndani kwa sasa wakaandamane kwa sababu hakuna mvuto Pengine makonda aende ulinzani anaweza cause kaonyesha kitu ambacho watanzania wanakitaka kwa sasa ukweli na uwajibikaji

Kwaiyo ukija jukwaani hapa ukiona watu wana jadili mada furani kama haupo interested nayo tulia usilete ujuaji kugeuza wenzako mahuja wewe ndio una akili sana kwa kuwambia fanyeni hivi tulia pia acha dharau maana uandishi wako inaonekana wewe ni kijana mdogo ujui vitu bali unaiga iga vitu na una ushamba furani hivi maisha hayapo hivyo relax usikaze sana utazeeka
Umeamua kwenda mbali sana sema hapa juzi TU mikutano ya Lowasa alijaza nani kama si vijana!?
Kitu nimegundua sababu pekee wanaona vijana hatupo kwenye siasa ni kwa sababu huwa hatupo pale jukwaani na baada ya kuondoka magari Yao huwa yana tinted hivyo hawatuoni ndio maana baada ya kuchaguliwa pale Nyamagana Wenje alibadili namba ya simu Ile ya kampeni acha nipende mpira
 
Back
Top Bottom