CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
- DR LUC EYMAEL 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umeongea wewe vijana tunaitaji ushawishi sasa wanatushawishi wenyewe mizingua acha kila mtu ashinde mechi yake siasa wafanye wao sisi watuachie mpira uzuri ukweli unajulikana utu ni kazi hakuna mwana siasa atakaye kurahishia maisha kama ufanyi kazi yoyote ya kukuletea kipato kama mtu ni msomi na anamini kiongozi furani akija basi maisha yake yakakuwa mazuri anajifanganyaUmeamua kwenda mbali sana sema hapa juzi TU mikutano ya Lowasa alijaza nani kama si vijana!?
Kitu nimegundua sababu pekee wanaona vijana hatupo kwenye siasa ni kwa sababu huwa hatupo pale jukwaani na baada ya kuondoka magari Yao huwa yana tinted hivyo hawatuoni ndio maana baada ya kuchaguliwa pale Nyamagana Wenje alibadili namba ya simu Ile ya kampeni acha nipende mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Injinia raisi wa Yanga alipokua sauzi Africa alipoulizwa swali anaona timu gani zitacheza fainali ya club Bingwa alisema ni Mamelode na Alhly...anzeni nae kwanza