Umeamua kwenda mbali sana sema hapa juzi TU mikutano ya Lowasa alijaza nani kama si vijana!?
Kitu nimegundua sababu pekee wanaona vijana hatupo kwenye siasa ni kwa sababu huwa hatupo pale jukwaani na baada ya kuondoka magari Yao huwa yana tinted hivyo hawatuoni ndio maana baada ya kuchaguliwa pale Nyamagana Wenje alibadili namba ya simu Ile ya kampeni acha nipende mpira