DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Nafikiri wazo lako limekaa njema .Duuh hapo tushawapoteza kupata D nne kwa kurisiti ni kazi kubwa sana.....inabidi wazee wa "ITHI" wabadili taratibu alternative ya D nne iwe Certificate ya Journalism.
Kaka niko na degree mbili ila mateso ni makali huku mtaaniWagongameza tu wanaenda kujaza ujinga bungeni, ifike hatua ili mtu aingie bungeni angalau yaan angalau ana Degree 2 km sio Master's kabisa yaan hapo angalau kidogo tutakua tumefanya jambo sio mtu yeye elimu ya kuchovyachovya anataka tu aende bungeni ili anunue malori na kutuzibia barabarana hapana kwa kweli
Nafikiri wazo lako limekaa njema .
Kuna dogo wa crown fm nafahamiana nae ndo ananisimulia kuwa kumbe vyuo vilikwenda kwenye maredio na matv kuwapa nafasi ya kusoma kipekee huku wanaendelea na kazi nasikia wengi walikacha pamoja na fursa ya kufuatwa makazini, jinga sana hawa jamaa!!Serikali hapo hawana makosa maana kulikuwa na muda wa kusoma...kama walikuwa busy wangesoma hata OUT pale Biafra(Open University) huku wanaendelea na kazi.
Kuna dogo wa crown fm nafahamiana nae ndo ananisimulia kuwa kumbe vyuo vilikwenda kwenye maredio na matv kuwapa nafasi ya kusoma kipekee huku wanaendelea na kazi nasikia wengi walikacha pamoja na fursa ya kufuatwa makazini, jinga sana hawa jamaa!!
Kabisa maana wanajua we si unataka cheti tu acha waendelee kufanya jogging kuchora vikatuni na komediAiseee ilikuwa fursa nzuri na hapo kwa privileges hizo ni lazima wangefaulu tu hizo courses.
Mamlaka ikishakukataa kwa mujibu wa sheria, ina maana huwezi fanya kazi na automatically huwezi lipwa.Lengo ni kwenda mbele na si kurudi nyuma ,hao watu wana uzoefu na wanaweza sana kuliko hata waliosajiliwa na wenye degree za mass comm ,cha msingi JAB ,wamiliki wa vyombo na Serikali chini wakae chini ili kuliweka sawa.
Hao watangazaji usidhani kama hawalipwi ,wanalipwa hata kama hawafanyi kazi kwasababu wana mkataba.
Wao wenyewe hakuitumia fursa vizuri, kulikuwa na RPL(Recognition prior learning) iliruhusu watu kama wao kusoma, lakini hawakufanya hivyo!!Matokeo yake wajanja kama Shigongo waliitumia RPL na sasa wana degree zao.Duuh hapo tushawapoteza kupata D nne kwa kurisiti ni kazi kubwa sana.....inabidi wazee wa "ITHI" wabadili taratibu alternative ya D nne iwe Certificate ya Journalism.
Zembwela hana cheti huo ndio ukwelikipindi anafanya field east africa radio na msimamizi wake alikua mussa hussein
Maulidi kitenge hana cheti huo ndio ukweli mkuu!!Mauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2C
Mamlaka ikishakukataa kwa mujibu wa sheria, ina maana huwezi fanya kazi na automatically huwezi lipwa.
Yes walifanya uzembe mkubwa sana.Wao wenyewe hakuitumia fursa vizuri, kulikuwa na RPL(Recognition prior learning) iliruhusu watu kama wao kusoma, lakini hawakufanya hivyo!!Matokeo yake wajanja kama Shigongo waliitumia RPL na sasa wana degree zao.
Dogo kwema?Kabisa maana wanajua we si unataka cheti tu acha waendelee kufanya jogging kuchora vikatuni na komedi
Dogo kwema?Kabisa maana wanajua we si unataka cheti tu acha waendelee kufanya jogging kuchora vikatuni na komedi