Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

N.B

Mazoezi hulainisha Viungo zaidi na kuufanya mwili kunyumbulika kuwa mwepesi.

Kulainisha mwili na kulainisha viungo na kuufanya mwili kuwa mwepesi.

Inaweza kuwa tofauti na mwili kuwa laini Kama heading ya Uzi .

Mwili kuwa laini sio issue ya mazoezi pekee.
 
Pole sana.
Anza na squatting mdogo mdogo, piga 10 siku ya kwanza. Ukiona miguu inauma pumzika siku 2. Then unapiga 15, 20, 25 hadi viungo vitaachia then ukiikalia unakua unajipimia izame kiasi gani...
 
Pole sana.
Anza na squatting mdogo mdogo, piga 10 siku ya kwanza. Ukiona miguu inauma pumzika siku 2. Then unapiga 15, 20, 25 hadi viungo vitaachia then ukiikalia unakua unajipimia izame kiasi gani...
Una uzoefu na hii kitu ?
 
Navuta taswira ya mpandwaji, alikuwa na hali gani alipoona mtu anakata pumzi🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Nahisi mimi ningekufa kwa kicheko na mchezo ungeishia hapo hapo.

Hiyo kushuka taratibu sasa, nimecheka kama fala leo.
Bro usichekelee matatizo ya wenzio 😁
 
Mi ni size ya kati wembamba sipo kibonge sipo, kama kajala hivi, au nayo ni kibonge?

Demi hapo kwa kajala nipo sawa au nimejipakulia nyama nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kajala huoni ana MWILI JUMBA Mimi nikajua labda kama MWILI WA FLAVIN MATATA, MIRIAM ODEMBA

Hapo kwa kajala jimu linakuhusuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…