Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Nikiiona nakumbuka jinsi Afghan watu walivyoidandia ikitaka paa
Walipanda zaidi ya 600 wakati kwa kawaida inabebaga wanajeshi kama 250 wakiwa na gears zao. Afghans walichuchumaa na kukaa kitako safari nzima
 
Ajabu ni kwamba huwa inazungukazunguka tu angani, kuna siku niliiona nkajiuliza ndege gani hii haina muelekeo as if imepotea, maana nilijua inaenda kutua pale JNIA ghafla ikakunja kama inaelekea mbagala.
Km inaelekea mbagara, au sio!
 
PXL_20230408_105711729.jpg
jana niliiona
 
Nimeiona jana hiyo ndege ilikuwa inatua JKNIA mida ya saa 6 kwenda 7
 
Inaleta bidhaa, vifaa vya Ubalozi wa Marekani.

TAA walishatolea ufafanuzi kuwa ni kawaida hiyo ndege huja kila mwaka
Mkuu atleast umekuja na a reasonable answer, sa kuna majitu hayataki tuhoji, as if ndege yetu inaweza kwenda kuzunguka kama daladala anga la USA...
 
Walipanda zaidi ya 600 wakati kwa kawaida inabebaga wanajeshi kama 250 wakiwa na gears zao. Afghans walichuchumaa na kukaa kitako safari nzima
Hakuna uwezekano Tanzania tukanunia kama hayo hata mawili tu
 
Kingine hakuna ndege inaweza ingia anga la nchi bila kibali cha nchi husika, na kila watumiapo anga lazima walipie kasoro kwa ndege ambazo zinapita futi nyingi juu.

Hivyo kila uionapo Tanzania jua imeruhusiwa kuja, na kwa sababu ni ndege ya kijeshi lazima maelezo yamepelekwa kwa wahusika kabla haijaingia anga letu
 
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.

Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
Mjiandae Kwa mlipuko mwingine wa mafua ya ndege ,global secret cabal ,inataifisha ndege kama kuku ,bata kwa wakulima na mashamba makubwa Marekani huko , authority wakisingizia kuna mlipuko wa mafua ya ndege , na wanafanya shipment kimya kimya ya madawa au chanjo ,ili wakianza purukushani zao ,wawadunge vizuri hizo chanjo zao ,

CBDC pia imeanza ,we are going digital hii kitu inakuja hata hapa Tanzania ,Nigeria wameshaanza kukiona cha mtema kuni miezi miwili sasa , watu wako desperate hawana pesa , huwezi kununua ama kulipwa kwa cash , jitahidi muwe na cash ya kutosha muda wote , itafikia kipindi hata kutoa pesa kwa benki ni marufuku


Mandatory lockdowns and other heavy totalitarian measures zinakuja ,zile za covid ni cha mtoto
This is not joke
 
Back
Top Bottom