Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipanda zaidi ya 600 wakati kwa kawaida inabebaga wanajeshi kama 250 wakiwa na gears zao. Afghans walichuchumaa na kukaa kitako safari nzimaNikiiona nakumbuka jinsi Afghan watu walivyoidandia ikitaka paa
Wanajua wenye kazi yao,sasa wewe ni nani hadi ujue mambo ya usalama?Sasa mkuu what is that bigass plane doing hapa kwetu? Imeleta nini, inachukua nini?... Si tunatakiwa kujua au?
Nin hikoKuna kitu mmekula mtakitapika
Undeserve kupewa majibu ya msingi na sio hao wanaojifanya wakazi wa Dar kumbe ni mambulula tu..Ukweli ni kwamba Rais wa America soon ana ziara Tanzania.so kwa wao ni lazima waanze maandalizi hasa kwenye issue za usalama wakeActually nipo kipawa. Au mkoan kuna kipawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata huelewek na keyboard zenu za infinix
Wewe unasikitisha sana, bora ungekaa kimya, hujui how serious this issue isndege tu unalia!!! vijana wa Dar bwana!!! machozi yamekutoka
Km inaelekea mbagara, au sio!Ajabu ni kwamba huwa inazungukazunguka tu angani, kuna siku niliiona nkajiuliza ndege gani hii haina muelekeo as if imepotea, maana nilijua inaenda kutua pale JNIA ghafla ikakunja kama inaelekea mbagala.
Swali ni kwanini inapita kila siku kwenye Anga letu na juzi kati mama Kamala alikuja hapa kuna kitu alisahau au wanamwagilia nini?.ndege tu unalia!!! vijana wa Dar bwana!!! machozi yamekutoka
najua,lakini sitaki kujikita hukoSwali ni kwanini inapita kila siku kwenye Anga letu na juzi kati mama Kamala alikuja hapa kuna kitu alisahau au wanamwagilia nini?.
Mkuu atleast umekuja na a reasonable answer, sa kuna majitu hayataki tuhoji, as if ndege yetu inaweza kwenda kuzunguka kama daladala anga la USA...Inaleta bidhaa, vifaa vya Ubalozi wa Marekani.
TAA walishatolea ufafanuzi kuwa ni kawaida hiyo ndege huja kila mwaka
Mlinzi wa kwanza wa nchi ni mtanzania... Mimi ni concerned citizen mkuu...Wanajua wenye kazi yao,sasa wewe ni nani hadi ujue mambo ya usalama?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndio mana nikamuuliza ndege ya tanzania inaweza kuzunguka anga la usa kama daladala? Sio kweli mkuu...Hata mimi nimestuka kusoma hoja yake huyo mshangaaji.
Hajui maana ya neno Ulinzi na Usalama
Ndio kama ile ilitua dodoma mwaka jana bila shaka.Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
View attachment 2580832
Tena inapita hadi jikoni kwetu ambako ni BandariniView attachment 2582240jana niliiona
Hakuna uwezekano Tanzania tukanunia kama hayo hata mawili tuWalipanda zaidi ya 600 wakati kwa kawaida inabebaga wanajeshi kama 250 wakiwa na gears zao. Afghans walichuchumaa na kukaa kitako safari nzima
Mjiandae Kwa mlipuko mwingine wa mafua ya ndege ,global secret cabal ,inataifisha ndege kama kuku ,bata kwa wakulima na mashamba makubwa Marekani huko , authority wakisingizia kuna mlipuko wa mafua ya ndege , na wanafanya shipment kimya kimya ya madawa au chanjo ,ili wakianza purukushani zao ,wawadunge vizuri hizo chanjo zao ,Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.
Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza