Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

Angalia tu nyuso zao zilivyokuwa na maumivu Mungu Yesu alivyoabidiwa mbele yao bila wao kupenda. Kombe la dunia Qatar lilifunguliwa kwa Yesu kuabudiwa mbele yao. Yani wale vijana wa Ecuador Mungu wa Kweli (Yesu) awabariki. Wapende wasipende Yesu ATAABUDIWA TU MBELE YAO.
 
Kwn na hilo walikataza
Mkuu jikaze tu hamna namna. Qatar Ni marufuku Yesu kuabudiwa. Lakini sasa hivi anaabudiwa mbele yao bila wao kupenda. Na hawawez kufanya lolote ni kuumia tu ndani kwa ndani. Halafu wachezaji wa Equador WALIPOFUNGA walienda KUMUABUDU YESU MBELE YAO.
 
Wengii mnaisemea mbovu ila waoo wamezuia Yale matendo maouvu zaidi kuanzia zinaa, lkn watu wanatafuta visababu vidogo ili kuonesha ukosoaji nyie andaeni zakwenuu mruusuu kila kitu

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Qatar ni nchi ya kipagani tu (secular), kivuli cha dini (uislamu) ni zuga tu ili kulinda maslahi ya watawala wa Qatar kuwatawala wananchi wake.

Mchezo wa mpira wenyewe, kwenye uislamu halisi ni haramu.
Kafee mbele kule maendeleo walionayo ile nchii kwenu mtasubiri miaka laki mbili mbele pamoja na kujaliwa rasilimali kibao

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Kweli stress ni mbaya kwaiyo Lin ulisikia wamekatazaa kuabuduu unachotaka mnataka kulazimisha vitu wasivyotaka ili kuwafurahisha nyie vichaa

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ni jikaze na nini au naww ni mzee wa rainbow umepata mamivu mashekh kuwagomea ujinga wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…