Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia tu nyuso zao zilivyokuwa na maumivu Mungu Yesu alivyoabidiwa mbele yao bila wao kupenda. Kombe la dunia Qatar lilifunguliwa kwa Yesu kuabudiwa mbele yao. Yani wale vijana wa Ecuador Mungu wa Kweli (Yesu) awabariki. Wapende wasipende Yesu ATAABUDIWA TU MBELE YAO.Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio yale yale.
---
Njia ya mavazi ya Waislamu imesababisha sana katika miaka ya hivi karibuni, na vikundi vingine vinasema kuwa vikwazo vya mavazi hupunguza au kudhibiti, hasa kwa wanawake. Baadhi ya nchi za Ulaya wamejaribu hata kuharibu mambo fulani ya mila ya Kiislam, kama vile kufunika uso kwa umma. Ugomvi huu unatoka kwa kiasi kikubwa kutokana na udanganyifu kuhusu sababu za sheria za Kiislam.
Kwa kweli, njia ambayo Waislamu huvaa ni kweli inaendeshwa kwa unyenyekevu rahisi na tamaa ya si kutekeleza tahadhari ya mtu kwa namna yoyote. Kwa kawaida Waislamu hawapendi vikwazo vinavyowekwa kwenye mavazi yao na dini yao na wengi wanaiona kama taarifa ya kiburi ya imani yao.
Uislamu hutoa mwongozo juu ya nyanja zote za maisha, ikiwa ni pamoja na masuala ya ustahili wa umma. Ijapokuwa Uislamu hauna kiwango cha kudumu kama mtindo wa mavazi au aina ya nguo ambazo Waislamu wanapaswa kuvaa, kuna baadhi ya mahitaji ya chini ambayo lazima yatimizwe.
Jinsi Waislam wanavyohitajika kuvaa
sw.eferrit.com
wanaongoza kwa ulawiti wanajitanda nguo mpaka miguuniAcha Udini weye;au ulitaka wacheze na Kanzu ili wafungwe hamsini.
Kwn na hilo walikatazaCheki Yesu alivyoabudiwa mbele yao bila wao kupenda.View attachment 2424823
Mkuu jikaze tu hamna namna. Qatar Ni marufuku Yesu kuabudiwa. Lakini sasa hivi anaabudiwa mbele yao bila wao kupenda. Na hawawez kufanya lolote ni kuumia tu ndani kwa ndani. Halafu wachezaji wa Equador WALIPOFUNGA walienda KUMUABUDU YESU MBELE YAO.Kwn na hilo walikataza
Walikufanyanyia ulawiti?wanaongoza kwa ulawiti wanajitanda nguo mpaka miguuni
Kafee mbele kule maendeleo walionayo ile nchii kwenu mtasubiri miaka laki mbili mbele pamoja na kujaliwa rasilimali kibaoQatar ni nchi ya kipagani tu (secular), kivuli cha dini (uislamu) ni zuga tu ili kulinda maslahi ya watawala wa Qatar kuwatawala wananchi wake.
Mchezo wa mpira wenyewe, kwenye uislamu halisi ni haramu.
Kweli stress ni mbaya kwaiyo Lin ulisikia wamekatazaa kuabuduu unachotaka mnataka kulazimisha vitu wasivyotaka ili kuwafurahisha nyie vichaaMkuu jikaze tu hamna namna. Qatar Ni marufuku Yesu kuabudiwa. Lakini sasa hivi anaabudiwa mbele yao bila wao kupenda. Na hawawez kufanya lolote ni kuumia tu ndani kwa ndani. Halafu wachezaji wa Equador WALIPOFUNGA walienda KUMUABUDU YESU MBELE YAO.View attachment 2424831View attachment 2424832
Major permanent pain in the @$$Kweli stress ni mbaya kwaiyo Lin ulisikia wamekatazaa kuabuduu unachotaka mnataka kulazimisha vitu wasivyotaka ili kuwafurahisha nyie vichaa
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Sasa ni jikaze na nini au naww ni mzee wa rainbow umepata mamivu mashekh kuwagomea ujinga wenuMkuu jikaze tu hamna namna. Qatar Ni marufuku Yesu kuabudiwa. Lakini sasa hivi anaabudiwa mbele yao bila wao kupenda. Na hawawez kufanya lolote ni kuumia tu ndani kwa ndani. Halafu wachezaji wa Equador WALIPOFUNGA walienda KUMUABUDU YESU MBELE YAO.View attachment 2424831View attachment 2424832
Jamaa kumbe wanajibana kulewa humu duniani lakini wanatarajia mito ya pombe akhera cc sheikhe mpenda chura nikumbusheni jina lake🤣.....Kipozeo
Mpenda minofu...muhuni yule😂Hilary Kipozeo
Mkenya wa bara huyo. Kwani humjui? Zamani alikua na id nyingine alipolipuliwa akaja na hii id..we jamaa waislam wanakunyima sana usingizi.