October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Kwahiyo huku ndio kuchangamka akili watoto ??Sasa hivi huwezi ukakuta kitu kama hiki mtaani. Watoto wetu akili zimelala. View attachment 1502551
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huku ndio kuchangamka akili watoto ??Sasa hivi huwezi ukakuta kitu kama hiki mtaani. Watoto wetu akili zimelala. View attachment 1502551
Yes ni moja ya ubunifu mkuu. Unaweza ona kitu cha ajabu ila kilikuwa na maana kubwa.Kwahiyo huku ndio kuchangamka akili watoto ??
kilikuwa na maana gani kubwa ??Yes ni moja ya ubunifu mkuu. Unaweza ona kitu cha ajabu ila kilikuwa na maana kubwa.
Jaribu kukaa wewe na utu uzima wako kama unaweza design kitu kama hicho.kilikuwa na maana gani kubwa ??
Michezo hiyo ilitujenga sanaJaribu kukaa wewe na utu uzima wako kama unaweza design kitu kama hicho.
Halafu kingine hebu jaribu kujiuliza huyo mtoto aliyetengeneza hivyo kwa nini alitengeneza hivyo, unaweza dhani simply kwa sababu ya kucheza lakini katumia akili na ubunifu kudesign hiyo gari ya kuchezea.
Siku hizi watoto wetu wanawaza video games ambazo ni ready-made na mambo mengine, ila enzi zetu video games tuli design wenyewe.
Ni kweli mazingira yamebadilika na lazima tukubali hilo. But that doesn't change the fact that back then we used to be very creative.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yaani hii kila saa inaonyeshwa kuanzia asubuhi mpaka usiku.Siku hizi ni SpongeBob SquaredPants.
MICHEZO YA VIDEO GAMES unayoita ya kisasa haimfanyi mtoto kuwa na nguvu za kiakili na kimwili.Toto linakuwa dormant na ujasiri na nguvu zeroYaani kwa Elimu yako hiyo na Kujiita kote Great Thinker Ndugu umeshindwa tu Kuelewa kuwa Nyakati zetu zile tulikuwa hatuko so exposed na Mambo mengi ya Kimaendeleo ( ya Kidunia ) kutokana na Mapinduzi ya Viwanda duniani yaliyokaribisha hata Ubunifu zaidi na Teknolojia Kuongezeka hivyo hivi sasa Watoto wetu Fikra zao zimehamishiwa kutoka zile zetu na Wao wamejikita zaidi katika Michezo ya Kisasa kama ya Video Game na mengineyo ambayo haiwalazimishi wao Kuzurula hovyo Mitaani pamoja na kuwa na tabia zetu zile za Uswahili Uswahili. Kila zama za Kizazi kinakuja na Mabadiliko yake ya Kimfumo katika Jamii iliyopo.
Ninyi ni kizazi muliocheza hiyo muliyoipa jina la michezo vipi sasahivi mumekuwa watu wazima imewanufaisha kivipi, impact yake kwako na kwa taifa ni ipi ??MICHEZO YA VIDEO GAMES unayoita ya kisasa haimfanyi mtoto kuwa na nguvu za kiakili na kimwili.Toto linakuwa dormant na ujasiri na nguvu zero
Mfano michezo ya kiswahili kuna ile ya watoto kuruka kamba.Watoto wawili wanashika kamba wanaizungusha mmoja anaruka katikati inajenga misuli ya mikono na miguu kwa mrukaji na matumizi ya akili kwa pamoja na kujenga team work na watoto wenzie.
Na akishindwa kamba ikimpiga miguuni anatolewa nje analetwa mwingine yule anayeweza sana anasifiwa kwa uwezo wake na wenzie na kumjengea sprit ya kupenda kushinda kwenye maisha.Hiyo mitoto micheza video games nguvu haina kabisa za mikononi wala miguuni wako kama kuku wa mdondo
Kuna michezo kama ukuti ukuti wa nazi wa nazi watoto wanazunguka kijeshi kwa spidi ya mwewe utachoka mwenyewe amri toka kwa kamanda mwimbishaji jeshi litoke nyuma akitoa amri watoto wanatua chini kama ndege ya boeing inatua uwanja wa kimataifa kwa spidi.WAtoto mtaani wanajuana wanajenga urafiki ambao haukatiki maisha yao yote sababu walicheza pamoja .Wa video games rafiki yake robot aliyeko kwenye computer game hapati muda wa kutengeneza marafiki sababu ratiba yake iko tight .Asubuhi shule mpaka jioni hana muda wa ku make friends .Akirudi ana homework ,akimaliza homework anaingia kucheza video games!!! Huyo hatengenezwi kuwa binadamu unatengeneza li robot!!
Wambie haoMICHEZO YA VIDEO GAMES unayoita ya kisasa haimfanyi mtoto kuwa na nguvu za kiakili na kimwili.Toto linakuwa dormant na ujasiri na nguvu zero
Mfano michezo ya kiswahili kuna ile ya watoto kuruka kamba.Watoto wawili wanashika kamba wanaizungusha mmoja anaruka katikati inajenga misuli ya mikono na miguu kwa mrukaji na matumizi ya akili kwa pamoja na kujenga team work na watoto wenzie.
Na akishindwa kamba ikimpiga miguuni anatolewa nje analetwa mwingine yule anayeweza sana anasifiwa kwa uwezo wake na wenzie na kumjengea sprit ya kupenda kushinda kwenye maisha.Hiyo mitoto micheza video games nguvu haina kabisa za mikononi wala miguuni wako kama kuku wa mdondo
Kuna michezo kama ukuti ukuti wa nazi wa nazi watoto wanazunguka kijeshi kwa spidi ya mwewe utachoka mwenyewe amri toka kwa kamanda mwimbishaji jeshi litoke nyuma akitoa amri watoto wanatua chini kama ndege ya boeing inatua uwanja wa kimataifa kwa spidi.WAtoto mtaani wanajuana wanajenga urafiki ambao haukatiki maisha yao yote sababu walicheza pamoja .Wa video games rafiki yake robot aliyeko kwenye computer game hapati muda wa kutengeneza marafiki sababu ratiba yake iko tight .Asubuhi shule mpaka jioni hana muda wa ku make friends .Akirudi ana homework ,akimaliza homework anaingia kucheza video games!!! Huyo hatengenezwi kuwa binadamu unatengeneza li robot!!
1*Hao waliotengeneza hizo gari za mbao wapo wapi sasa hivi?Sasa hivi huwezi ukakuta kitu kama hiki mtaani. Watoto wetu akili zimelala. View attachment 1502551
Ready made zinaua uwezo wa akili na creativity .Uko sahihi.Nakumbuka Buguruni kuliwahi tokea mtoto akatengeneza kimtu kwa kutumia vijiti akaviunga unga akaweeka vinyanyaya vya kuota jalalani na kibetri kimoja.Kile akawa na akiimba nyimbo kile kimtu kinacheza kwa step bila kukosea na hajakisikilia .Yule mtoto kukizima alikuwa anachomoa kibetri.Na ili akichezeshe alikuwa anataka watu wachange shilingi mia mbili .Zikitimia anaweka betri anaimba kinacheza.Siku hizi watoto wetu wanawaza video games ambazo ni ready-made na mambo mengine, ila enzi zetu video games tuli design wenyewe.
Ni kweli mazingira yamebadilika na lazima tukubali hilo. But that doesn't change the fact that back then we used to be very creative.
Imekujenga kivipi?Michezo hiyo ilitujenga sana
Asilimia kubwa Watoto Sahv ni lonyalonya
Ndomana
Ova
Mimi linaloniuzi ni kwamba mashule siku hizi yanawatesa.Mimi natafuta shule private ambapo mtoto anatoka shule saa sita. Nina mtoto mdogo school bus inapita saa kumi na mbili, akienda shule linamrudisha saa 11 na nusu hivi halafu ana homework kama zote. Mtoto ana miaka 5. Nimeanza kuwaza upya maana naona wanamtesa na mimi nashiriki kumtesa. Hana muda wa kucheza wala kupumzika.wadau hili je ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa.na wakati aukama bile.ukuti.kombolela.rede.kibaba na kimama magari ya udongo kundesha matairi.au kufunga kamba na kundesha kama basi unapakia abiria hii michezo sioni kwa watoto wetu wa sasa je imepitwa.na akati au
Unadhani kwanini hao wajapan walimchukua?Ready made zinaua uwezo wa akili na creativity .Uko sahihi.Nakumbuka Buguruni kuliwahi tokea mtoto akatengeneza kimtu kwa kutumia vijiti akaviunga unga akaweeka vinyanyaya vya kuota jalalani na kibetri kimoja.Kile akawa na akiimba nyimbo kile kimtu kinacheza kwa step bila kukosea na hajakisikilia .Yule mtoto kukizima alikuwa anachomoa kibetri.Na ili akichezeshe alikuwa anataka watu wachange shilingi mia mbili .Zikitimia anaweka betri anaimba kinacheza.
Kuna siku nikapita nikasema kale katoto kalikuwa hapa bado kapo ? nikaambiwa kalishabebwa kako japan na wazazi wake wakaniambia kuna siku kuna wajapan walipita wakakaona wakakashangaa wakashindwa kuona uhusiano uliopo kati ya yeye kuimba na kile kimtu cha miti kucheza wakati hana remote na kale kamtu ni kamti wakakahoji maswali machache kuwa inawezekanaje kakasema sijui mimi nilikuwa nacheza na wenzangu tunaunga unga nikaunga nikaona kiko hivi
Wakaondoka nako Japani kenyewe na wazazi wake
Watoto wanabidi waachiwe wasishinde kutwa kucheza video games!! Akili zitakufa .
Mkuu hicho ni kitu cha msingi kabisa ni creativity, yani mtoto kuona gari naye akatengeneza la kwake siyo kitu kidogo. Kuona pikipiki akatengeneza yake ni kitu kikubwa. kinachangamsha ubongokilikuwa na maana gani kubwa ??