Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

Leta hizo comments dhidi ya JPM halafu nikuwekee comments zangu dhidi ya Samia kwenye mkataba wa DP WORLD! Usidhani mimi nimeunga mkono ule mkataba, nimeukosoa kwa ustaarab....
Mwanzoni walikana, wamekubari baada ya shinikizo kuwa kubwa,rejea kamanda wa mkoa alisema Nini,ukiukwaji wa PGO Upo palepale.
 
Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Sasa wewe na wale sukuma gang mna tofauti gani? Mnajifanya Israel watoa roho? Mtakufa nyie na vizazi vyenu.
 
Nauliza tu mama hawa akina Saidi wanakuwaga Watu wa Imani sana

Mlale unono 😀😀
 
Kuna watu wachache sana walizaliwa kwa makusidi na wanaishi kwa makusudi hayo, wengi tulizaliwa kujaza tu ulimwengu(kuishi katika hii dunia)

Ujasiri, maono, uwezo mkubwa wa kiakili, n.k, are in born qualities /characters walizojaliwa ili kutimiza kazi iliyowaleta hapa duniani na mara nyingi ni kwa faida ya wengi (waliizaliwa kujaza ulimwengu).

Haya yanayowakumba bila kujali matokeo yake, yana mchango mkubwa katika ukombozi wa pili wa Mtanzania na ndio maana Watawala hawatulii.
 
Mdude Chadema ni nani? Nani ana Cv ya huyu mtu?

I want to study him so that I can write a personal analysis report ( intelligency report) about this guy and use his brass approach spirit in my personal ventures.

Ni mtu wa kipekee sana... watu wasio ogopa kama Mdude Chadema duniani wapo wachache sana.

Aisee ukiitumia spirit ya huyu jamaa kwenye mambo yako kwenye maisha huwezi kuwa umasikini coz hakuna kitu ambacho kitakutisha kwenye harakati zako za utafufaji. Sio mchawi sio mfitini wala jirani msengenyaji.

Mwenye cv ya Mdude Chadema please mwagika hapa.

Elimu yake plus age yake na miaka aliyo hitimu shule.
 
Huyu mwamba wazazi wake hawajulikani kalelewa tu na watu ndio maana akaitwa mdude
 
johnthebaptist msitutoe kwenye hoja.

1. Bandari imeuzwa?

2. Bandari imekodishwa?

3. Bandari tumeazimisha?

4. Ardhi ya bandari ndiyo imeuzwa?

5. Wafanyakazi wa bandari ndiyo wameuzwa?

6. Nembo ya bandari ndiyo imeuzwa?

7. Au sisi ndiyo tumeinunua Dp World?
 
Back
Top Bottom