Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Fanya utafiti bila mbwembwe za ushabiki wa hisia zako, jijengee kihoji watu bila kuonyesha mrengo wako (hakikisha hukosei ukaonekana), waulize ukiwa chumba Cha kupigia utampigia Nani kati ya Lisu na Magufuli, na kwa wale amba huwa wanasema sitaenda sitapiga kura, waulize ikiwa utaamua upige kura utampa nani?

Hutaacha kuona rangi!
Woote watasema na wamesha sema kuwa watamchagua mh Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kufikisha maana wananchi wamesha amua kuifuta ccm kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh 😂😂😂 Yaani Ninafurahi Sana mnavyojiamini....
Ila Hamfikiii Kujiamini Mlikoonyesha na UKAWA 2015....
Yaani Leo Wanachama Wote Wa CCM wameshatekwa na RHETORICS za Lissu?!! Ha ha ha hayaaa...Oct 28 Si Mbali panapo uhai!!
 
Ukimwondoa Mabeyo na ile safu yake ya ma generals hakuna mjeshi anayemkubali Magu.
Ukimuondoa Siro na ile timu yake ya makamishna hakuna polisi anayempenda Magu
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
 
Lowassa aliwajaza watu kuliko lissu,tunasubiri tu tarehe28 tukamfyeke huyo raia wa ubelgiji
Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli atapata ushindi kwa asilimia 81+. Tundu Lissu akijivuta sana atapata asilimia 31+
 
Kuapishwa siyo tatizo maana hata ukipelekwa icc lazima kwanza uapishwe kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakina Kenyata wamedundanda wameenda ICC wamerudi bado wanatawala ....mzungu hakutetei kama huna cha kumpa .....kwahio jipangeni mkitaka mpiganiwe muandae cha kuwapa lasivyo mtakua ma keyboard warrior hadi kizazi cha wajukuu zenu
 
Kama kura mnapiga kupitia account twiter ya kigogo hata 10 hafikishi,

Huku kwa watanzania atafikisha 80%
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Mgombea wa kupata asilimia 60 ni yupi, ambaye akili yake inamtuma kuamini kuwa bora Marekani iwepo na Tanzania iishe kiuchumi.
Anafanya Kampeni za kuonewa huruma badala ya kueleza atakachokifanya cha ziada zaidi ya tulichokiona awamu ya 5.
Kwa Sera zake ilitakiwa umpe asilimia 0.6 % zile kura za mihemko, Hashimu Rungwe Mpe 2% kwa Sera ya Msosi, Act wazalendo wape 9% kwa Siasa za kupumbaza na kufarakanisha ingawa Naye zimeporomoka zaidi baada ya Zitto Kabwe kuudanganya Umma na kushiriki kuisaliti nchi isipate mikopo mbalimbali ya Maendeleo na Wananchi tayari wamemgundua kuwa hakufanikiwa.
Kwa Kura za Wananchi JPM zinaongezeka at Increasing rate 86/%_ 87% kila anapofanya Mkutano anaongeza asilimia ya kura kutokana na kufanya siasa za wazi na ambazo Wananchi wameziona si za kusimuliwa
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Akizidisha sana ni 35% zingine ni za Lissu.
 
Back
Top Bottom