Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Lowassa aliwajaza watu kuliko lissu, tunasubiri tu tarehe28 tukamfyeke huyo raia wa ubelgiji
Kipindi cha ENL kulikuwa na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Tafiti nyingi nimezifanya kwa kujivika ukada wa CCM nimepingwa sana na vijana, wakimama na wazee. Kila nikiwa kwenye usafiri wa umma, daladala au bodaboda wengi wanamchukia sana jiwe. Kuna msiba nilienda kama kawaida yangu kwenye hoja za kampeni nikawa upande wa CCM wazee walinishambulia balaa
 
JIBU NI YES YES✌✌✌✌✌✌✌
HII HAPA NDO ITAMUTUPILIA KWA MBALI
NGUVU YA UMMA

Hichi kimdada nacho.
Hakijui kuwa Uhuru Kenyatta ameenda ICC sasa hivi ndo Rais wa Kenya. Odinga ambae hakuenda anasubili mwaliko kuenda ikulu.
 
Kipindi cha ENL kulikuwa na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Tafiti nyingi nimezifanya kwa kujivika ukada wa CCM nimepingwa sana na vijana, wakimama na wazee. Kila nikiwa kwenye usafiri wa umma, daladala au bodaboda wengi wanamchukia sana jiwe. Kuna msiba nilienda kama kawaida yangu kwenye hoja za kampeni nikawa upande wa CCM wazee walinishambulia balaa
ccm ilipingwa 2015 siyo leo, uchaguzi wa mwaka huu rahisi sana kwa ccm, lissu anachangamsha mjadala tu, lakini kwenye sanduku la kura hana chake, kupata kura siyo kutegemea kujaza nyomi peke yake. Mrema alijaza sana, Lipumba alijaza sana enzi za ngangali, Slaa alijaza kama kawa, Lowassa ndiyo usiseme yeye alivunja rekodi ya wengine. Finally ni ccm iliyochukua na kuweka kibindoni ushindi mnono awamu zote.
 
JIBU NI YES YES✌✌✌✌✌✌✌
HII HAPA NDO ITAMUTUPILIA KWA MBALI
NGUVU YA UMMA

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sheeeda kweli, eti ICC
 
kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
CHADEMA mnajiendea kama popo pasipo kufanya utafiti wa kisayansi.. Mngekuwa mmefanya mini Survey kuweza kujua kuwa mgombea wenu TundA Lissu ataambulia jumla ya 5% ya kura zote, mngetumia nguvu hii mnayoipoteza sasa, angalau muambulie majimbo mawili ya ubunge chama kiendelee kupata ruzuku ili kina Mnyika waweze kulipwa mishahara.
 
labda ukimuangalia Rais mtarajiwa akili zako zitakurudia

1600331688426.png

1600331743141.png

1600331775694.png
 
Tatizo yeye ndiye anayehesabu kura kwa hiyo anaweza kutangaza anavyotaka.
 
Mwaka 2015 watu walikua na imani sana na JPM kuhusu haki zao na maisha yao .
Suala la uvunjifu wa haki za Binadamu, Kuficha Bunge,kukamata kamata watu hovyo, kuvuruga mzunguko wa fedha kwa kuchota vihela vyote toka kwa wanyonge kupitia suhuru wa kila mahali, Kufunga midomo Vyombo vya habari, kupuuza na kuzuia vipaji vya watu kama waandishi wa habari lakini kwa kusema kuwa hawana Diploma au Digrii. Wakati huo huo wanawatumia wasanii wasiosoma sanaa zaidi ya vipaji .

Kuchanganya majeshi na Chama cha Mapinduzi kinyume na katiba.
Kufukuza wenye vyeti feki wakati huo huo kuna wateule wenye vyeti feki na wanalipwa mamilioni ya mishahara.
Kupitisha watu wanaokwepa kodi kugombea ubunge kinyume na katiba ya nchi.
Kununua wapinzani kwa gharama kubwa badala ya kujenga barabara vijijini.
Kuwanyima wananchi naendeleo kwa makusudi kwa sababu za kisiasa ili wajute wakati wanalipa kodi.
Kutoa elimu bure kwa shule za msingi zenye gharama ndogo kisha kuwatelekeza wanapofika kwenye vyuo vya ufundi na vya kati kwa kuwawekea Ada kubwa badala ya kuwakopesha kama wanavyofanya wale wa Digrii.

Pamoja na imani kubwa waliyokuwa nayo watanzania kwa JPM mwaka 2015 lakini alibebwa na Tume na usanii wa watu wajanja ,sasa mwaka 2020 imani ile imepungua kwa asilimia kubwa sana. Kuna kila dalili ya kukosa kura nyingi sana.
Akishindwa atastaafu tu kwa heshma mana hakuna mtu atakayepigana kumweka mtu madarakani aliyeshindwa.
Watajarubu kupima upepo lakini tsunami itawazomba kabisa.
Lisu anakubalika kutika kwenye mioyo ya watu.
Mungu alimpaka Mafuta JPM kama alivyompaka Mafuta Mfalme Sauli na kuitwa mpakwa Mafuta lakini baadae alipoanza kujaribu kumuua Kijana Daudi Mungu akiwimama na Daudi na kumpa ufalme Daudi.

JPM alipitishwa kwa uwezo wa Mungu na kupewa mamlaka na Mungu kwa kipindi chake kwa ajili ya kuwaweka watanzania mahali pa kuongea Lugha moja juu ya Haki zao walizoporwa na CCM kwa zaidi ya nusu Karne.
Kwa sasa hata wanaojiita ccm na wenyewe hawataki kusikia mtu anayeitwa magufuli
 
Yaani Mzee wa Buti la Jeje tayari ameshaweka shingo kibraa anasubiria kuchinjwa ukitaka kuamini msikilize kauli zake kwenye mikutano yake ni Kushindwa mara Mahakamani ya Kimataifa mara Tutaandamana
 
Magufuli keshashinda kwa 95%,kama hutaki ama nchi,hamia hata Somalia tu utapewa mke,kikombe cha kahawa na mirungi kilo kilo moja kilasiku bure kabisa.
 
Fanya utafiti bila mbwembwe za ushabiki wa hisia zako, jijengee kihoji watu bila kuonyesha mrengo wako (hakikisha hukosei ukaonekana), waulize ukiwa chumba Cha kupigia utampigia Nani kati ya Lisu na Magufuli, na kwa wale amba huwa wanasema sitaenda sitapiga kura, waulize ikiwa utaamua upige kura utampa nani?

Hutaacha kuona rangi!
Wote wanasema Lissu anatosha na Jiwe out
 
Kipindi cha ENL kulikuwa na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Tafiti nyingi nimezifanya kwa kujivika ukada wa CCM nimepingwa sana na vijana, wakimama na wazee. Kila nikiwa kwenye usafiri wa umma, daladala au bodaboda wengi wanamchukia sana jiwe. Kuna msiba nilienda kama kawaida yangu kwenye hoja za kampeni nikawa upande wa CCM wazee walinishambulia balaa
kwan kwa sasa nani kazuiliwa kufanya kampeni?
 
CHADEMA mnajiendea kama popo pasipo kufanya utafiti wa kisayansi.. Mngekuwa mmefanya mini Survey kuweza kujua kuwa mgombea wenu TundA Lissu ataambulia jumla ya 5% ya kura zote, mngetumia nguvu hii mnayoipoteza sasa, angalau muambulie majimbo mawili ya ubunge chama kiendelee kupata ruzuku ili kina Mnyika waweze kulipwa mishahara.
we jidanganye. Lisu anachukua nchi asubuhi!
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Kwa kigezo kipi atafikisha hiyo 60%

Kwa kigezo kipi afikishe hiyo 60% yaani kupata wale wati tunduma ndo mnadhani huo ni ushindi?
Hivi mnadhani wote wanaoshangilia pale watapiga kura au ni washabiki wenu?

Kwa hiyo hao wanaoenda kwa magufuli wao sio wapiga kura wake ila ni wa kwenu sio?
Tumieni akiri acheni kutumia makario,
Jana mlipopokelewa mbeya, kwenye mitandao ilikuwa i shughuli lakini leo.momba bado mko studio mnatengeneza
Hata picha ya drone naona mmenyimwa kibali.
 
Mpaka sasa ana 85%, ukiangalia kwa mihemko unaweza kufikiri kuna mahali amezidiwa lakini anaongoza, upende usipende
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
40% zote hizo, zitoke wapi?

ila sema tume itamtangaza ni mshindi hata akipata 20%... labda Kaijage aogope mkwara wa Tundu Lissu alioutoa jana pale Tunduma!
 
Back
Top Bottom