Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Hizi kampeni za kusua sua za Lissu ndiyo zimpe hiyo 60%. Endeleeni kumchangia anagalau afanye kampeni majimboni aongeze kura.

Wagombea wenu majimboni wako hoi kwa ukata. Wengi wanataka kujitoa. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye urais. Wanasahau tawi haliwezi simama bila shina
 
Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!
November mwanzoni pale Taifa ndio itaeleweka haya maneno yetu ya kwenye kanga kamwe hayachagui Rais wa nchi hii. Na mkuu hili utalikumbuka. Na hata hao wala viwavi jeshi siku hiyo nao sauti zao utazipata kama wako mita 1 toka hapo ulipo.
 
Huyo Mamluki wenu akipata Nusu ya hiyo
Ujue kashinda
 
Pole Sana mkuu naona Kama umesongwa na matatizo Sana hivyo umeamua kuanzisha Uzi wa kijinga ili angalau ukuburudishe wewe na pamoja na wenzio msio weza kutambua hata kitu kimoja kinachoenda kutokea sekunde moja mbele.
 
We kama prof umeona kwamba utafaidika nayo nikuambi kodi ya VAT ni 18% na anacho kifanya saiv nikuitumia iyo asilimia kama inavyo takiwa ili ifikie kipindi kodi kufikia 9% na maendeleo kuongezeka so 60% lazima zimuhusu 40% kwa Lissu.
 
Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!
Duuu mna vituko, halafu mkitoka hapa mnaweka nyomi za Lowassa Mnasema ni za Lissu. Ukweli mnaujua kitu pekee wanachowaza CCM Sasa hivi ni watoe kipigo kipi Kati ya hivi, Cha mbwa koko au Cha mwizi.
Ukitaka kuujua ukweli achana na jamii forum na mitandao mingine. Kila ikifika saa 2 usku fungulia UTV ya AZAM utajionea ukweli!
 
FB_IMG_1599250703423.jpg
FB_IMG_1599250629100.jpg
FB_IMG_1598719257064.jpg
 
Magufuli akipata 40% ya kura ujue hapo ndo tume imemsaidia vya kutosha sasa hawana jinsi tena ....Ila ki halali halali magufuli hatoboi hata 20% ya kura zote
 
Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli atapata ushindi kwa asilimia 81+. Tundu Lissu akijivuta sana atapata asilimia 31+
Kwa hiyo kura zitakuwa jumla asilimia 112 (112%)... Khaaa. Acha undakindaki uliopitiliza namna hiyo.
 
92% for JPM
Viva Magu
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
 
Mambo gani madogomadogo ambayo hajayagusa orodhesha hapa tukujibu,nakuakikishia kwamba atashinda kwa kishindo na mtajificha chinibya makabati.
 
Mgombea wa kupata asilimia 60 ni yupi, ambaye akili yake inamtuma kuamini kuwa bora Marekani iwepo na Tanzania iishe kiuchumi.
Anafanya Kampeni za kuonewa huruma badala ya kueleza atakachokifanya cha ziada zaidi ya tulichokiona awamu ya 5.
Kwa Sera zake ilitakiwa umpe asilimia 0.6 % zile kura za mihemko, Hashimu Rungwe Mpe 2% kwa Sera ya Msosi, Act wazalendo wape 9% kwa Siasa za kupumbaza na kufarakanisha ingawa Naye zimeporomoka zaidi baada ya Zitto Kabwe kuudanganya Umma na kushiriki kuisaliti nchi isipate mikopo mbalimbali ya Maendeleo na Wananchi tayari wamemgundua kuwa hakufanikiwa.
Kwa Kura za Wananchi JPM zinaongezeka at Increasing rate 86/%_ 87% kila anapofanya Mkutano anaongeza asilimia ya kura kutokana na kufanya siasa za wazi na ambazo Wananchi wameziona si za kusimuliwa
Mgombea wa kupata zaidi hata ya 60% #NiYeye

Akili yake inavyomtuma haimkoseshi kura hata kidogo.

Kuonewa huruma kunaweza kuongeza kura zake, we acha hiyana. Ndio siasa zilivyo.

Yaani hizi sera zote anazonadi hadi kufikia kunakiliwa na chama tawala zote hujaziona!? Uadui ukizidi mwezi utausema koroma
Tena afadhali umeziona hata kuweza kuzilinganisha na za wengine, sasa kusema hasemi atakachokifanya una maana gani? Acha unazi wa kisiasa.

Siasa za kuwazindua watu wewe ndio umeziita za kupumbaza na kufarakanisha? Wacha watu waonyeshwe udhaifu wa waliowachagua, kuelewa kwao usikuite kufarakanishwa banaaa... Nasikitika huna sera za kuishauri nchi iondokane na utegemezi wa mikopo, unalia lia tu. Unakwama wapi kwani?

Wagombea wote wanafanya mikutano na ndivyo ushawishi uanvyopanda zaidi. Nani hafanyi siasa za wazi? Wagombea wengine wanaomba ridhaa wakionyesha aliye madarakani alivyoshndwa hapa na pale, ndio mchakato wa kisiasa ulivyo.

Weka hoja makini mkuu, sio kufanya ajizi...
 
Fanya utafiti bila mbwembwe za ushabiki wa hisia zako, jijengee kihoji watu bila kuonyesha mrengo wako (hakikisha hukosei ukaonekana), waulize ukiwa chumba Cha kupigia utampigia Nani kati ya Lisu na Magufuli, na kwa wale amba huwa wanasema sitaenda sitapiga kura, waulize ikiwa utaamua upige kura utampa nani?

Hutaacha kuona rangi!
Waliokuwa wanasema hawatapiga ni wale wasioipenda ccm kama wataenda jiulize watampigia nani.
Uzuri wengi wamejiandikisha si kwa nia ya kupiga kura bali matumizi ya hicho kitambulisho.
Kwa hiyo ikiwa wameamua kupiga kura kadi wanazo.
Uchaguzi huu ni mgumu hauhitaji majigambo bali kazi ya kushawishi.
Tatizo liko moyoni mwa watu. Kama watu wana furaha tusubiri. Kama wana huzuni tusubiri majigambo hayasaidi!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
watu tunawaza tunaharibu vp katiba atawale milele wewe bado unawaza uchaguzi
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Tatizo kubwa LA cdm wengi hawajasoma! Wengi shule walikimbia, kukurahisishia kazi ukitaka kujua nan anashinda uchaguzi wa mwaka huu mskilize mwenyewe

Back
Top Bottom