Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Utashangaa utatangaziwa kapata 90% , cha msingi ni kulinda kura kwa damu zetu ili tuondokane na utumwa.
😂😂😂 Kwa damu yako, ili lijamaa fulani liingie ikulu
 
Hawezi kufikisha ile 53.4 % alizopata mwaka 2015, watu huku mitaani ukiwauliza vipi kuhusu jpm, wanakuambia tumemjaribu miaka 5 hafai kupewa tena 5
 
Muda mwingine najickia vibaya nnapoona WATANZANIA tunashindwa kupambanua mambo na tunaendeshwa na ubinafsi zaidi wala hatuangalii tulipo na tunawaandalia nin kizazi kinachokuja......
Mambo makubwa aliyoyafanya Raisi Magufuli ni yenye tija sana kwa kizazi cha sasa na kijacho... ! Kweli muda mwingine tunaumia kidogo but kuna manufaa makubwa kama sio sisi basi kwa vizazi vyetu! tukumbuke no pain, no gain!
FLYOVER-- leo tumeshaanza kusahau ile foleni ya TAZARA na Ubungo
NDEGE-- Ni zetu wanalipa nauli na faida inabaki nchini hivyo pato la nchi/Taifa linakuwa
MRADI WA BWAWA KWA AJILI YA UMEME-- Hata sasa watanzania wengi wamepata ajira huko, faida yake kubwa tutaiona likishakamilika, tutaona ni kwa namna gani uchumi wa nchi utakuwa kwa kasi...! na ni kwa namna gani bidhaa nyingi zitashuka bei na kuwa na bei rafiki kwa watanzania. Pia wawekezaji wa viwanda vikubwa watakuja kuwekeza nchini kwetu tutafaidika sana! kama sio sisi hata watoto wetu
TRENI YA MWENDO KASI---- jamani watanzania tupewe nini? hii itasaidia sana kwa wafanya biashara wa kati itasaidia kuongeza kasi ya mzunguko wa mtaji wao. Tumuache amalizie hivi vitu wakiingia wengine inawezekana kabisa mengi yakasimama hata miradi ikafa! tukawa tumepoteza pakubwa zaidi!
MAGUFULI ndiye raisi pekee Afrika aliyeweza kulinda uchumi wa nchi dhidi ya adui mkubwa CORONA VIRUS na endapo angekubaliana na mawazo ya vyama vya upinzani kufunga miji ya kibiashara kama DSM sijui tungekuwa wapi? Kama angefunga shule hadi leo na umri hausimami wengi sana wange athirika hasa wale waloamua kujiendeleza kielimu wakiwa na umri mkubwa!
WATANZANIA TUJIFUNZE KUSHUKURU! Leo maofisini rushwa imepungua kila mtendaji wa serikali anafanamuhudumia mwananchi kwa haki! coz wanajua macho ya serikali muda wote yapo yanazunguka maofisin!
Leo mwananchi unaweza kulalamika kwa waziri na hoja yako ikafanyiwa kazi kwa wakati!

NAKUPONGEZA SANA MHESHIMIWA RAISI J.P.MAGUFULI,
MUNGU AKUTANGULIE KATIKA KILA JAMBO UNALOLIFANYA!
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
Mwaka 2015 watu walikua na imani sana na JPM kuhusu haki zao na maisha yao .
Suala la uvunjifu wa haki za Binadamu, Kuficha Bunge,kukamata kamata watu hovyo, kuvuruga mzunguko wa fedha kwa kuchota vihela vyote toka kwa wanyonge kupitia suhuru wa kila mahali, Kufunga midomo Vyombo vya habari, kupuuza na kuzuia vipaji vya watu kama waandishi wa habari lakini kwa kusema kuwa hawana Diploma au Digrii. Wakati huo huo wanawatumia wasanii wasiosoma sanaa zaidi ya vipaji .

Kuchanganya majeshi na Chama cha Mapinduzi kinyume na katiba.
Kufukuza wenye vyeti feki wakati huo huo kuna wateule wenye vyeti feki na wanalipwa mamilioni ya mishahara.
Kupitisha watu wanaokwepa kodi kugombea ubunge kinyume na katiba ya nchi.
Kununua wapinzani kwa gharama kubwa badala ya kujenga barabara vijijini.
Kuwanyima wananchi naendeleo kwa makusudi kwa sababu za kisiasa ili wajute wakati wanalipa kodi.
Kutoa elimu bure kwa shule za msingi zenye gharama ndogo kisha kuwatelekeza wanapofika kwenye vyuo vya ufundi na vya kati kwa kuwawekea Ada kubwa badala ya kuwakopesha kama wanavyofanya wale wa Digrii.

Pamoja na imani kubwa waliyokuwa nayo watanzania kwa JPM mwaka 2015 lakini alibebwa na Tume na usanii wa watu wajanja ,sasa mwaka 2020 imani ile imepungua kwa asilimia kubwa sana. Kuna kila dalili ya kukosa kura nyingi sana.
Akishindwa atastaafu tu kwa heshma mana hakuna mtu atakayepigana kumweka mtu madarakani aliyeshindwa.
Watajarubu kupima upepo lakini tsunami itawazomba kabisa.
Lisu anakubalika kutika kwenye mioyo ya watu.
Mungu alimpaka Mafuta JPM kama alivyompaka Mafuta Mfalme Sauli na kuitwa mpakwa Mafuta lakini baadae alipoanza kujaribu kumuua Kijana Daudi Mungu akiwimama na Daudi na kumpa ufalme Daudi.

JPM alipitishwa kwa uwezo wa Mungu na kupewa mamlaka na Mungu kwa kipindi chake kwa ajili ya kuwaweka watanzania mahali pa kuongea Lugha moja juu ya Haki zao walizoporwa na CCM kwa zaidi ya nusu Karne.
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Kwa mapenzi makubwa kabisa post hii naisevu. Nitakukumbusha baada ya matokeo ya Urais kutangazwa.
 
Jibu ni HAFIKI. Watanzania tumemchoka mno mno. Apumzike tu.
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Azitoe wapi ?
 
Lissu akifikisha 30 % ya kura nakunya mafungu mafungu mpak ikulu
Naona mnazidi kuongeza asilimia tu tuko wiki ya tatu tu mmeshafikisha asilimia 30 mpaka siku ya kura mtakuwa mnazungumza mengine.
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Kwa nguvu za wizi na msaada wa NeC na Policcm na vyombo vile vingine 40% atapata lakini hawezi kuwa rais tena.
 
Kama unamsikiliza Tundu Lissu kwenye mikutano utaamini ya kwamba Lissu ni mtu mwenye kuongea kwa utulivu na unaweza kumuelewa vizuri

TunduALissu anasema Kila kitu kinawezekana na huu ni wakati wetu.

Uonevu wa maccm SasaBasi tusifanye tena makosa yaliyofanywa miaka 59 iliyopita

#VOTEFORLISSU
 
Utashangaa utatangaziwa kapata 90% , cha msingi ni kulinda kura kwa damu zetu ili tuondokane na utumwa.

Hizi kura Lissu anazitoa wapi mkuu. Mbona unajifariji sana. Moyoni Unajua ndo mana unataja 90%. Ameni.
 
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.

Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.

Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?

Mkuu una uprof wa mitishamba au. Unahisi Kwanini umeandika uzi huu? Kujifariji. Unajua kabisa ushindi wa JPM Ni kama drip kwa mgonjwa wa kipindupindu. Ila JPM Ana nyota. Miaka 5 hata kipindu pindu kimemuogopa. Corona imemuogopa.
 
JAKAYA alishasema hili ZIGO CCM haliwezi kumuangukia yeye MKWERE ngoja alibebe M'BEBA MIZIGO MIZITO ili limuangukie.
naona tayari limeshamuelemea anatapatapa pa kulitua hapaoni
Tuzidiahe maombi
 
Mda mwingine Critical thinkers wa jamii Forum siku hizi wanafeli mahala.
Kirahisi kabisa unahoji kuwa Magufuli atafikaisha
Asilimia 40% hahahha
 
JIBU NI YES YES✌✌✌✌✌✌✌
HII HAPA NDO ITAMUTUPILIA KWA MBALI
NGUVU YA UMMA
 
Back
Top Bottom