Upo sahihi kabisa hiyo 90% ni watakao mkataa mgombea wa ccm.Utashangaa utatangaziwa kapata 90% , cha msingi ni kulinda kura kwa damu zetu ili tuondokane na utumwa.
Woote watasema na wamesha sema kuwa watamchagua mh LissuFanya utafiti bila mbwembwe za ushabiki wa hisia zako, jijengee kihoji watu bila kuonyesha mrengo wako (hakikisha hukosei ukaonekana), waulize ukiwa chumba Cha kupigia utampigia Nani kati ya Lisu na Magufuli, na kwa wale amba huwa wanasema sitaenda sitapiga kura, waulize ikiwa utaamua upige kura utampa nani?
Hutaacha kuona rangi!
Kwisha habari zakeBwana yule akipata 40 Percent ashukuru Mungu. Hapo hujazungumzia pyu pyu pyu na kupotea kwa watu!!!
Hiyo siyo ajabu wewe kunya maana umezoeaLissu akifikisha 30 % ya kura nakunya mafungu mafungu mpak ikulu
Loooh 😂😂😂 Yaani Ninafurahi Sana mnavyojiamini....
tunaomba na namba yako ya simu ili tukukumbushe kama utaisahau hii ahadi yakoLissu akifikisha 30 % ya kura nakunya mafungu mafungu mpak ikulu
Ila ataapishwa Magufuli kazi kwisha arudi tena ubelgiji arudi 2025
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Kwani 2015 nani alishinda kabla ya Lubuva kufanya yake??Lowassa aliwajaza watu kuliko lissu,tunasubiri tu tarehe28 tukamfyeke huyo raia wa ubelgiji
Kuapishwa siyo tatizo maana hata ukipelekwa icc lazima kwanza uapishwe kwanzaIla ataapishwa Magufuli kazi kwisha arudi tena ubelgiji arudi 2025
Swali zuri sanaKwani 2015 nani alishinda kabla ya Lubuva kufanya yake??
Kama mtumwa ni wewe usihusishe tusio watumwa.Utashangaa utatangaziwa kapata 90% , cha msingi ni kulinda kura kwa damu zetu ili tuondokane na utumwa.
Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!Lowassa aliwajaza watu kuliko lissu,tunasubiri tu tarehe28 tukamfyeke huyo raia wa ubelgiji
Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli atapata ushindi kwa asilimia 81+. Tundu Lissu akijivuta sana atapata asilimia 31+Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Wakina Kenyata wamedundanda wameenda ICC wamerudi bado wanatawala ....mzungu hakutetei kama huna cha kumpa .....kwahio jipangeni mkitaka mpiganiwe muandae cha kuwapa lasivyo mtakua ma keyboard warrior hadi kizazi cha wajukuu zenuKuapishwa siyo tatizo maana hata ukipelekwa icc lazima kwanza uapishwe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgombea wa kupata asilimia 60 ni yupi, ambaye akili yake inamtuma kuamini kuwa bora Marekani iwepo na Tanzania iishe kiuchumi.Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Hahahah hahahaha
Akizidisha sana ni 35% zingine ni za Lissu.Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Aaaah kalinde mwenyeweUtashangaa utatangaziwa kapata 90% , cha msingi ni kulinda kura kwa damu zetu ili tuondokane na utumwa.