Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
November mwanzoni pale Taifa ndio itaeleweka haya maneno yetu ya kwenye kanga kamwe hayachagui Rais wa nchi hii. Na mkuu hili utalikumbuka. Na hata hao wala viwavi jeshi siku hiyo nao sauti zao utazipata kama wako mita 1 toka hapo ulipo.Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!
Duuu mna vituko, halafu mkitoka hapa mnaweka nyomi za Lowassa Mnasema ni za Lissu. Ukweli mnaujua kitu pekee wanachowaza CCM Sasa hivi ni watoe kipigo kipi Kati ya hivi, Cha mbwa koko au Cha mwizi.Mpaka sasa hivi alikopita Lissu, Lowassa hakuwahi kujaza watu vile pamoja na kwamba ulikuwa muungano wa vyama vinne! Mwanza ilikuwa kufuru, Shinyanga juzi pale joshoni ilikuwa karibia 1.5 ya wale wa Lowassa labda sema Dodoma kwa wala viwavi jeshi!
We unaangalia kujaza uwanja wakati watu wanaenda kuangalia wasanii, wengine wanasombwa na malori...watumishi wanalazimishwa kwenda hata kama hutaki...majina yanaandikwa ..
Kwa hiyo kura zitakuwa jumla asilimia 112 (112%)... Khaaa. Acha undakindaki uliopitiliza namna hiyo.Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli atapata ushindi kwa asilimia 81+. Tundu Lissu akijivuta sana atapata asilimia 31+
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Mambo gani madogomadogo ambayo hajayagusa orodhesha hapa tukujibu,nakuakikishia kwamba atashinda kwa kishindo na mtajificha chinibya makabati.Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya sana na walimshauri siyo wazoefu wa siasa za vyama vingi.
Unakimbilia kujenga mabarabara, mabwawa ya umeme, kununua mandege na kuhamisha mji kwenda Dodoma kwa wakati mmoja huku huduma zinazoingiza jamii moja kwa moja hutekelezi, watumishi wa umma umewaacha, ajira kiduchu kwa vijana,mikopo ya elimu ya juu shida tupu,huduma za afya bado ni tatizo, shida kwenye biashara mzunguko mgumu wa pesa mtaani, uhuru wa kujieleza ni shida. Haya yote yanachochea chuki, watu hawaangalii miundombinu hii wanataza maisha yao yanakwenda vipi.
Nataka niseme kwamba, kwa mwendo anaokimbia nao Tundu Lissu na hoja zake zenye mashiko na ngumu, ndiyo maana wananchi wengi wanakimbilia kwenye mikutano yake wakidhani kua huyu ndio mtu atakayewania shida zao badala ya yule anayetengeneza vitu kwa ajili ya mtaji wa kisiasa.
Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
Mgombea wa kupata zaidi hata ya 60% #NiYeyeMgombea wa kupata asilimia 60 ni yupi, ambaye akili yake inamtuma kuamini kuwa bora Marekani iwepo na Tanzania iishe kiuchumi.
Anafanya Kampeni za kuonewa huruma badala ya kueleza atakachokifanya cha ziada zaidi ya tulichokiona awamu ya 5.
Kwa Sera zake ilitakiwa umpe asilimia 0.6 % zile kura za mihemko, Hashimu Rungwe Mpe 2% kwa Sera ya Msosi, Act wazalendo wape 9% kwa Siasa za kupumbaza na kufarakanisha ingawa Naye zimeporomoka zaidi baada ya Zitto Kabwe kuudanganya Umma na kushiriki kuisaliti nchi isipate mikopo mbalimbali ya Maendeleo na Wananchi tayari wamemgundua kuwa hakufanikiwa.
Kwa Kura za Wananchi JPM zinaongezeka at Increasing rate 86/%_ 87% kila anapofanya Mkutano anaongeza asilimia ya kura kutokana na kufanya siasa za wazi na ambazo Wananchi wameziona si za kusimuliwa
Waliokuwa wanasema hawatapiga ni wale wasioipenda ccm kama wataenda jiulize watampigia nani.Fanya utafiti bila mbwembwe za ushabiki wa hisia zako, jijengee kihoji watu bila kuonyesha mrengo wako (hakikisha hukosei ukaonekana), waulize ukiwa chumba Cha kupigia utampigia Nani kati ya Lisu na Magufuli, na kwa wale amba huwa wanasema sitaenda sitapiga kura, waulize ikiwa utaamua upige kura utampa nani?
Hutaacha kuona rangi!
Hawez pata 40% labda aibe kura
https://www.facebook.com/Huyo Mamluki wenu akipata Nusu ya hiyo
Ujue kashinda