Uchaguzi 2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

Lowassa aliwajaza watu kuliko lissu, tunasubiri tu tarehe28 tukamfyeke huyo raia wa ubelgiji
Kipindi cha ENL kulikuwa na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Tafiti nyingi nimezifanya kwa kujivika ukada wa CCM nimepingwa sana na vijana, wakimama na wazee. Kila nikiwa kwenye usafiri wa umma, daladala au bodaboda wengi wanamchukia sana jiwe. Kuna msiba nilienda kama kawaida yangu kwenye hoja za kampeni nikawa upande wa CCM wazee walinishambulia balaa
 
JIBU NI YES YES✌✌✌✌✌✌✌
HII HAPA NDO ITAMUTUPILIA KWA MBALI
NGUVU YA UMMA
Hichi kimdada nacho.
Hakijui kuwa Uhuru Kenyatta ameenda ICC sasa hivi ndo Rais wa Kenya. Odinga ambae hakuenda anasubili mwaliko kuenda ikulu.
 
ccm ilipingwa 2015 siyo leo, uchaguzi wa mwaka huu rahisi sana kwa ccm, lissu anachangamsha mjadala tu, lakini kwenye sanduku la kura hana chake, kupata kura siyo kutegemea kujaza nyomi peke yake. Mrema alijaza sana, Lipumba alijaza sana enzi za ngangali, Slaa alijaza kama kawa, Lowassa ndiyo usiseme yeye alivunja rekodi ya wengine. Finally ni ccm iliyochukua na kuweka kibindoni ushindi mnono awamu zote.
 
JIBU NI YES YES✌✌✌✌✌✌✌
HII HAPA NDO ITAMUTUPILIA KWA MBALI
NGUVU YA UMMA
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sheeeda kweli, eti ICC
 
kisiasa.

Kuna uwezekano CCM hata kura 40%% kisipate. Lissu anaweza kupewa 60% kama pumzi ya waliochoma. Swali ni je, Mgombea wa ccm anaweza kupata kura hata 40% kweli?
CHADEMA mnajiendea kama popo pasipo kufanya utafiti wa kisayansi.. Mngekuwa mmefanya mini Survey kuweza kujua kuwa mgombea wenu TundA Lissu ataambulia jumla ya 5% ya kura zote, mngetumia nguvu hii mnayoipoteza sasa, angalau muambulie majimbo mawili ya ubunge chama kiendelee kupata ruzuku ili kina Mnyika waweze kulipwa mishahara.
 
Tatizo yeye ndiye anayehesabu kura kwa hiyo anaweza kutangaza anavyotaka.
 
Kwa sasa hata wanaojiita ccm na wenyewe hawataki kusikia mtu anayeitwa magufuli
 
Yaani Mzee wa Buti la Jeje tayari ameshaweka shingo kibraa anasubiria kuchinjwa ukitaka kuamini msikilize kauli zake kwenye mikutano yake ni Kushindwa mara Mahakamani ya Kimataifa mara Tutaandamana
 
Magufuli keshashinda kwa 95%,kama hutaki ama nchi,hamia hata Somalia tu utapewa mke,kikombe cha kahawa na mirungi kilo kilo moja kilasiku bure kabisa.
 
Wote wanasema Lissu anatosha na Jiwe out
 
kwan kwa sasa nani kazuiliwa kufanya kampeni?
 
we jidanganye. Lisu anachukua nchi asubuhi!
 
20% atafikisha kwa bahati Sana. Hali ya maisha ni ngumu sana
 
Kwa kigezo kipi atafikisha hiyo 60% Kwa kigezo kipi afikishe hiyo 60% yaani kupata wale wati tunduma ndo mnadhani huo ni ushindi?
Hivi mnadhani wote wanaoshangilia pale watapiga kura au ni washabiki wenu?

Kwa hiyo hao wanaoenda kwa magufuli wao sio wapiga kura wake ila ni wa kwenu sio?
Tumieni akiri acheni kutumia makario,
Jana mlipopokelewa mbeya, kwenye mitandao ilikuwa i shughuli lakini leo.momba bado mko studio mnatengeneza
Hata picha ya drone naona mmenyimwa kibali.
 
Mpaka sasa ana 85%, ukiangalia kwa mihemko unaweza kufikiri kuna mahali amezidiwa lakini anaongoza, upende usipende
 
40% zote hizo, zitoke wapi?

ila sema tume itamtangaza ni mshindi hata akipata 20%... labda Kaijage aogope mkwara wa Tundu Lissu alioutoa jana pale Tunduma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…