Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

Mimba ya mwanamke ila mtoto wa mwanaume...........

Another pepa plizii
 
Mwanamke yeyote mwenye uzazi aweza kaa miaka bila mimba
Ila anapoingiliwa kimwili na mwanaume akiwa kwenye siku za ustawishaji yai lake la uzazi na mwanaume kama ana mbegu zenye siha njema hushika ujauzito/mimba
So go figure,kwa scenario hiyo mimba ni ya nani
 
Mimba ni ya mwanamke ambae huibeba ..nikupe mfano sasa uelewe

Ikitoa mwanamke mwenye mimba akipoteza iyo mimba utamsikia.akilalamika jaman mimba yangu imeharibika ..kwa kauli iyo inayo onyesha umiliki basi ni moja kwa moja mwanamke ndio mwenye umiliki
 
Mimba Ni ya mwanamke na mtoto akizaliwa atakuwa Ni wa mwanaume ( aliyetunga mimba)
 
NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi.

Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
KWA MUJIBU WA MFUMO DUME WA DUNIA MIMBA NI YA MWANAUME KISA MAHALI, KAMA HUJAMLIPIA MAHALI MTOTO ATAKAEZALUWA NI WA MWANAMKE.
KIBAILOJIA MTOTO NI WA WOTE JAPO KUNA MAMBO YA DOMINANT GENES MTOTO AKAKOPI ZAIDI UPANDE MMOJA ILA WOTE WANACHANGIA GENES 23 +23= 46.
MAMBO MENGINE NI SOCIAL CONSTRUCT, NA HUTOFAUTIANA SEHEMU MOJA NA NYINGINE.
 
Hii sred imejaa majitu majinga kweli 🤔 sijui nimefata nn lol
Ngoja nimblock mleta sred kwanza ndo ki.laza wa kwanza
 
Kama mwanamke anaulizwaga Mimba ni ya Nani? Naomba tuufunge Uzi..!
 
Back
Top Bottom