Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi.

Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
Labda mwanamke apate mimba kwa kujiingiza sperms kwa njia artificial insemination mimba inachangiwa baina ya mwanamke (yai) na mwanamme (mbegu) bila ya moja katia yao mimba haipatikani naturaly
 
Mimba ni mali ya mwanamke , kiufupi mambo yote yanayohusu karaha za mimba kama kichomi ,kiungulia , kichefuchefu hayamhusu mwanaume kwa sababu hana mimba na hamiliki mimba.
 
Back
Top Bottom