Ila wew @Rowin wew
Shetani mkeo asiyejua kuna kupata na kukosa...😏😏😏Maneno ya jukwaani tuu hayo..😏😏hamna mashetani ka ninyi
ile habari ya Mjeda haikuwa yako?Tena kwa ndoa halali kabisaa, na Pete kidoleni.
Mimi sitaki tena pesa zake kwa kweli.Hamna yaani naeza mpatia amount kidogo imsogeze,maana mimi maisha yangu yote sijawahi kosa hela ya emergence
hizi mada kama zimezikuwa TOO MUCH.
inafanya nazidi kuona mke kama ni kitu kitanipotezea sana na hakina faida kabisa..
binadam tumetoufatiana..
wengine tupo SHORT TEMPER unaweza kutoa roho mda wowote!
Baba chanja akiwa hana hela huaga anatia huruma sana hahaha hata nguvu ya kumnyasa nyasa unakosa lol hapo ni mipango na ahadi kibao ngoja azishike sasa nyumba inakua ya moto kunyanyua mabega mtindo mmoja.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mhh ntakucheki pm tuyajenge basi😎😎Hamna yaani naeza mpatia amount kidogo imsogeze,maana mimi maisha yangu yote sijawahi kosa hela ya emergence
Sa nyote si wale waleShetani mkeo asiyejua kuna kupata na kukosa...😏😏😏
Namuongezea mahaba ili apate nguvu, hari na kasi mpya ya kupambana...maana najua akipata nusu na robo yote yangu jomoniii 😋😋
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba anataka kusepa kisa Pesa umetetereka.
Hauna Mke.. Ulioa barmaid
Nimekuelewa sasa hivi hata mimi nimekwama please do the needful.Hamna siku hazilingani,kuna siku anakwama bila kutajaria namwambia nna akiba ikusogeze kidogo,yaani freshi kimtindo
Basi sawa,Hiyo ni kwa mtu mmoja tu,anayetimiza majukumu yake kama mume angekuwa siyo muwajibikaji na mpambanaji hata mia yangu hapati ng'o
Ngoja uwe mke.Siku hazifanani, kuna kupata na kukosa ila je ukipata unakua na tabia gani na unatreat vipi huyo mkeo,? Isijekua ukiwa nazo hutulii , hushauriki afu ukiishiwa ndiyo unatia huruma hadi basi, treatment utakayomuonesha mkeo ukiwa na pesa ndiyo atakayokuonesha ukiwa huna pia. Pia kama mnaishi vizuri tu sidhani kama mke atafurahia kukosa kwako kwani ukikosa wewe naye ndiyo kakosa hivo. Tuishini vizuri na kwa upendo.
Njoo inbox nikupe connectionHao ambao hawajipangi barabarani unawanunulia wapi mkuu na standard ipo vizuri..nipe shule kijana wako,sitaki kuvuga matatizo ya bure.
Hili swali ungeniuliza mimi ningekuwa nishakujibu fasta. Unaweza kuta mtu unapata mke kwa kukomenti tu.Hahahah nimecheka mkuu samahani kwani umri wako ni miaka mingapi
Sorry najua ni personal question lakini upo kwenye early 30’s au late 30’s au late 20’s kindly let me know kama hutojali