Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Kuna jambo nmeliona hapa kwa hawa akina dada
Kumbe ukiwa na pesa just stay home na familia yako...... na ukitaka kutoka out basi toka na huyo huyo mkeo...
Nmegundua kua kumbe kuna wadau wakiwa na pesa wanakimbia familia
Zikipotea wanataka huruma za wake zao nyumbn?[emoji848][emoji848]
Au nasema uwongo @Sky Eclat @Karucee @Shadeeya @Numbisa @naa @Rowin

Ila wew @Rowin wew[emoji177][emoji3590][emoji3590][emoji177][emoji3590]
 
Ila wew @Rowin wew

Ila na mimi....[emoji854][emoji6]
kelphin kepph hii kitu inaitwa Pesa inaharibu sana ndoa...cha muhimu ni kuhakikisha mume na mke muwe same team inapokuja suala la mapato na matumizi kwenye familia....

Sio ile ya mimi zangu na wewe zako....mkijiwekea hela ni zenu wote, hata siku mkiishiwa...mtakuwa wawili kwenye Stress na mtafarijiana jinsi ya kutoka huko....

Tatizo linakuja wengi wetu hatupendi kuunganisha vipato vyetu, kugawana majukumu na bila kusahau kuongelea jinsi ya kusaidiana kujiendeleza huko mbeleni.
 
hizi mada kama zimezikuwa TOO MUCH.
inafanya nazidi kuona mke kama ni kitu kitanipotezea sana na hakina faida kabisa..
binadam tumetoufatiana..
wengine tupo SHORT TEMPER unaweza kutoa roho mda wowote!

Hahahah nimecheka mkuu samahani kwani umri wako ni miaka mingapi
Sorry najua ni personal question lakini upo kwenye early 30’s au late 30’s au late 20’s kindly let me know kama hutojali
 
Baba chanja akiwa hana hela huaga anatia huruma sana hahaha hata nguvu ya kumnyasa nyasa unakosa lol hapo ni mipango na ahadi kibao ngoja azishike sasa nyumba inakua ya moto kunyanyua mabega mtindo mmoja.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Mtu kama huyo muombee njaa tu daily na anyanyaswe akiwa hana hela hakuna namna
 
Siku hazifanani, kuna kupata na kukosa ila je ukipata unakua na tabia gani na unatreat vipi huyo mkeo,? Isijekua ukiwa nazo hutulii , hushauriki afu ukiishiwa ndiyo unatia huruma hadi basi, treatment utakayomuonesha mkeo ukiwa na pesa ndiyo atakayokuonesha ukiwa huna pia. Pia kama mnaishi vizuri tu sidhani kama mke atafurahia kukosa kwako kwani ukikosa wewe naye ndiyo kakosa hivo. Tuishini vizuri na kwa upendo.
 
Ngoja uwe mke.
You will learn!!
 
Hahahah nimecheka mkuu samahani kwani umri wako ni miaka mingapi
Sorry najua ni personal question lakini upo kwenye early 30’s au late 30’s au late 20’s kindly let me know kama hutojali
Hili swali ungeniuliza mimi ningekuwa nishakujibu fasta. Unaweza kuta mtu unapata mke kwa kukomenti tu.
 
Back
Top Bottom