Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu sipika?View attachment 2135563
Hivi ni haki Leo hii mzee Zungu kuwa msaidizi wa Tulia Akson? Msaidizi kabsaaa? Lakini ndiyo hiyo; ni msaidizi tayari; mzee born town, mission town ndani ya jijini la Dar, Leo msaidizi wa mporipori kutoka huko Tukuyu ndanindani! Ukiweza kutegua hicho kitendawili utakuwa umepata jibu la swali ulilouliza.
 
Ila zungu basi tu lakini Ilala ina barabara za hovyo Dar nzima.
 
Sio fair kwa kweli
IMG_20220301_213858.jpg
 
Huyu jamaa alikua miongoni mwa walinzi vipenzi wa Magufuli, leo namuona anamlinda naibu spika (zungu).

Hii ni demotion au ni nini?

Kwa nini asingepelekwa hata kumlinda Mwinyi au Makamu wa Rais?

zungu.JPG
 
Back
Top Bottom