Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kwani kumlinda huyo dingi kuna shida??? Mbona ameelekea sana kuliko kule alikotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angemlinda hata Mwinyi
HanaKwaiyo naibu spika hana hadhi ya kulindwa na mlinzi wa magufuli? Acha kujiaibisha.
Umeshindwa kutetea hoja ,unadhani kumlinda Rais ni sawa na kumlinda NS ni kweli kuna vitu atavikosa Rais ni mtu mzito.Allowance huendana na cheo hubaki palepale
Haziondoki labda cheo kishuke huyo kashuka cheo?
Msiangalie mshahara tu,mwalimu mkuu ukishushwa cheo kuwa mwalimu wa kawaida ni fedhea japo mshahara haushukiHilo huendana na rank ya cheo chake kuwa yeye ndie alikuwa senior kwa wenzie mfano mtu ni kanali wa jeshi hata umpeleke kulinda ofisi ya kata maruprupu yake ya ukanali yako palepale na allowance zake
Ana hadhi gani?? NAIBU SPIKA ni CHEO kikubwa sana. Pia kumbuka Mwinyi tayari alikuwa na walinzi so wale wapelekwe wapi?Kwa hadhi yake hakutakiwa kumlinda Naibu spika
Kwa hadhi yake hakutakiwa kumlinda Naibu spika
Amekurupuka huyoAna hadhi gani?? NAIBU SPIKA ni CHEO kikubwa sana. Pia kumbuka Mwinyi tayari alikuwa na walinzi so wale wapelekwe wapi?
Hadhi ipi hio?Kwa hadhi yake hakutakiwa kumlinda Naibu spika
Hana
Mwacheni apige kaziKama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu sipika?View attachment 2135563
Kati yake na wewe na "ung'ombe" umekukaa sana wewe!So ulitaka akae bila kazi..?
Acha ushamba wa kiboya ndugu unakuwa unaakili Kama za ng'ombe bhana! Tumia kichwa yako vizuri
Mkuu kwanza haijulikani unamzunguzia nani kwenye hiyo picha.Huyu jamaa alikua miongoni mwa walinzi vipenzi wa Magufuli, leo namuona anamlinda naibu spika (zungu)
Hii ni demotion au ni nini?
Kwa nini asingepelekwa hata kumlinda Mwinyi au Makamu wa Rais?
View attachment 2135647
Jiwe alipenda kumuita jamaa "Alhaji"
Kazi za usalama ndio zilivyo unaweza ukawa sehemu nzuri kiongozi akifa au akistaafu unaweza kutupwa kwenye malindo huyo bahati yake
Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.Watu mna roho mbaya sana. Huyo ni mtumishi wa umma hivyo anaweza kutumika popote pale serikali itakapomtaka. Jambo zuri ni kwamba bado yuko kwenye utumishi, kwamba hakutupwa nje.
Africa tunashindwa kutofautisha kati 1) SecurityKuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi anapangiwa kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.
Kiukweli humu jf tuna members..
P